Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Kwa kishua huko 😁😁ndio maana nasema ukiwa pro max ongezea na tramadol, usipo lala njoo tupigane golden fork kesho😁😂
Pa kupigania sharti kuwe na benchi na mama muuza kavaa dera..
Ila seriously, kama una shida ya usingizi na ukashika simu ndio hautolala...
Kama una kitu kinachoupa moyo na akili uzito. Bila kudeal nacho, utafika asubuhi bilabila
Kwa hiyo lazma ujue source ya tatizo halafu upambane nalo