Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Tunalo wengiHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Tunalo wengiHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Hongera,unalea mtoto,baba mtoto au wote baba na mtoto wake?Nalea
Mimi nalala nataa ndio maaana usingizi unakata mapema?Mimi Nina Tatizo zaidi ya la kwako, maana ninaweza Fanya Kazi masaa 14 au 16 na nikahisi mwili umechoka Kweli ila nikipanda kitandani usingizi hauji Mpaka kunapambazuka.
Baada ya kuanza mambo ya kusafiri safiri tena kilometre nyingi ndo nikagundua tiba.
Chanzo cha Tatizo ni MWANGA. Ikawa kama Nataka kulala Saa 6 basi taa na kila kifaa cha MWANGA kinazimwa Saa 4 Hadi NNE na nusu usiku. Macho yangu yakikutana na Giza totolo au hata MWANGA Wa mbali ambao haunipigi moja Kwa moja machoni. Naanza kujihisi kuchoka na hatimaye macho mazito, na usingizi unanichukua.
Kuhusu madawa nilishatumiaga Sana, dawa za kila Aina zilizona historia konki kutibu tatizo ila hazikuwa na maajabu kwangu.
Epuka mwanga Lisaa limoja kabla ya kufanya maamuzi ya kulala. Epuka mawazo Yale ya kufanya akili yako kufanya hesabu za kina
Labda Utapata tiba.
Cetrizen huwa inamezwa 1*1 vinginevyo ni mis use of drugs..Kuna miaka nilipataga depressionkutokana na nature yangu huwa nakoss usingizi sana, so daktari aka nambia uki meza Cetirizene 2 Ina upa mwili uchovu wa ghafla.
ila Kama we ni mkosa usingizi pro max, basi piga hizo tramadol 1 & cetirizene 2 nusu saa kabla ya kulala.
iko vizuri mno.
Sio sababu mkuu...humu Jf Kuna wadau na nyuzi mbali mbali zinachambua hii issue...mfn ule Uzi wa JF USIKU WA MANANE.Mimi nalala nataa ndio maaana usingizi unakata mapema?
SawaCetrizen huwa inamezwa 1*1 vinginevyo ni mis use of drugs..Kuna miaka nilipataga depression
Nikawaga silali sipati usingizi kabisa mpaka alfajir ndio usingizi unanijia kidogo hapo hapo natakiwa niamke kuwai mishe..
Zipo dawa za kumeza kukutuliza na kukupa utulivu wa akili na usingizi kabisa 🧐 Sito zitaja kwa sababu ya ethical issues.
Mkuu hata konyagi vizibo viwili vinatosha kukupa usingizi ☺️😊
Hizo ndio natembeaa nazoSio sababu mkuu...humu Jf Kuna wadau na nyuzi mbali mbali zinachambua hii issue...mfn ule Uzi wa JF USIKU WA MANANE.
unaweza ukapanda kitandani na kitabu/ ukasoma online some material mpaka ukapitiwa na usingizi ☺️
Lilikuanza lini ndugu mgonjwa?Hili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Nadhan bora nyagiCetrizen huwa inamezwa 1*1 vinginevyo ni mis use of drugs..Kuna miaka nilipataga depression
Nikawaga silali sipati usingizi kabisa mpaka alfajir ndio usingizi unanijia kidogo hapo hapo natakiwa niamke kuwai mishe..
Zipo dawa za kumeza kukutuliza na kukupa utulivu wa akili na usingizi kabisa 🧐 Sito zitaja kwa sababu ya ethical issues.
Mkuu hata konyagi vizibo viwili vinatosha kukupa usingizi ☺️😊
Rais wa ma jobless pro max atakuja kukubishia hapa 🤣Nadhan bora nyagi
Mkuu nikipiga nyagi ndogo walau napata usingizi 😳😳😳 yule ana njia zake za kuusaka.Rais wa ma jobless pro max atakuja kukubishia hapa 🤣
Ni kweli ukipiga kiasi sio mbaya Mimi pia huwa Mara moja moja natumia vinywaji changamshi Tena jion baada ya kazi..Mkuu nikipiga nyagi ndogo walau napata usingizi 😳😳😳 yule ana njia zake za kuusaka.
Inasaidia sana mkuu vichwa vinawaza mengi sana kweli inabidi kujipa tiba binafsi tizama mpaka usingizi hauji toka saa 7 aisee ni balaa hiliNi kweli ukipiga kiasi sio mbaya Mimi pia huwa Mara moja moja natumia vinywaji changamshi Tena jion baada ya kazi..
Mawazo yako tu, ila haya hesabiki Kama calculator mbovuHuu utakuwa ni utumwa wa madawa. Bora hata umshauri kufanya mazoezi.
Duh 🙄Cetrizen huwa inamezwa 1*1 vinginevyo ni mis use of drugs..Kuna miaka nilipataga depression
Nikawaga silali sipati usingizi kabisa mpaka alfajir ndio usingizi unanijia kidogo hapo hapo natakiwa niamke kuwai mishe..
Zipo dawa za kumeza kukutuliza na kukupa utulivu wa akili na usingizi kabisa 🧐 Sito zitaja kwa sababu ya ethical issues.
Mkuu hata konyagi vizibo viwili vinatosha kukupa usingizi ☺️😊
Tupo liveMawazo yako tu, ila haya hesabiki Kama calculator mbovu
punguza kukurupuka mkuu, hizo dawa nameza kwa maelekezo ya daktariMkuu,
Unameza dawa bila ushauri wa Dactari/ vipimo huoni kua unazichosha Figo?
Balaa sanaaInasaidia sana mkuu vichwa vinawaza mengi sana kweli inabidi kujipa tiba binafsi tizama mpaka usingizi hauji toka saa 7 aisee ni balaa hili