Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
NaleaNawe huna usingizi
NaleaNawe huna usingizi
Bhasi ni temporary situation tu mkuu. Natural vitu vitanyooka tena kwa upande wako 🙏🏽Life situation pia, shilingi imelala
Mi hata sizijui nazisikia tuNazijua Sana, zile za kaganda Kama ka gold?
hapa niko hoi ila akili Ina sema oya hulalalagi na viporo😁Hapo fresh Ila mimi hata nikiwa kitandani tu. Kukosekana kwa movements ya vitu lakini pia kuwa na ule muda wa kukaa peke yako. Kwangu huwa ni nzuri
Mkuu mimi kwa upande wangu mziki mkubwa si u feel kabisa, hata club niki ibuka na wana nawekaga earphones.Bhasi ni temporary situation tu mkuu. Natural vitu vitanyooka tena kwa upande wako 🙏🏽
Unajua tramadol ni kama drugs? Search humu utauona...tramadol ni janga...! Search humu utaona shuhuda..tumia chini ya uangaliZi wa Dk.la sivyo utakua kama Rose mHando soonpamoja sana, natumai hata MastaKiraka ata Iona na kujaribu.
mimi ndio pro wa kuto lala, ila hua niki zigusa ni chap.
tramadol ka pakti ka vidonge 10 ni buku jero, citizen ni 500 vidonge 10.
so nachukuaga pakti 3, kwa 3, mzuka sana hiyo, maana siku nyingine una weza usi meze ni kulala tu.
Binafsi siwez kucontrol matumizi ya simu na hili ndo tatizo langu nakosa usingiz kabsaaaHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Hahhaha....ila wewe bhanaUnamaanisha nini mkuu
chill out madam, I feel like since quote yako ya kwanza uko negative kidogo.Unajua tramadol ni kama drugs? Search humu utauona...tramadol ni janga...! Search humu utaona shuhuda..tumia chini ya uangaliZi wa Dk.la sivyo utakua kama Rose mHando soon
Kunywa maziwa ya moto kabla ya kulalaHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Nashukuru situation ngumu nazo Zina expire date yake, tushukuru Mungu kwa Kila jamboBhasi ni temporary situation tu mkuu. Natural vitu vitanyooka tena kwa upande wako 🙏🏽
Tough times don't last, tough people do 🙏🏽Nashukuru situation ngumu nazo Zina expire date yake, tushukuru Mungu kwa Kila jambo
Kwangu inategemea 😁Mkuu mimi kwa upande wangu mziki mkubwa si u feel kabisa, hata club niki ibuka na wana nawekaga earphones.
hata home nina masharti ni no loud music, sikiliza kwa faida yako
MImi labda niwe mwenyewe, na ni feel ku imba live 😁Kwangu inategemea 😁
Mimi hata niwe sina bando bilaa saa tisa usingiz hamnaHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Huu utakuwa ni utumwa wa madawa. Bora hata umshauri kufanya mazoezi.cetirizene 2 tramadol 1 kwisha kazi una lala chap
zinauwa figocetirizene 2 tramadol 1 kwisha kazi una lala chap
Mkuu,cetirizene 2 tramadol 1 kwisha kazi una lala chap