😂😂😂😂nipo kuhakikisha tabia za malaya, kiufupi umekwarifai, tafuta mpenzi, acha mawazo, na ukiweza, Jitoe kwenye mawazo ya utoto. Utalala , ila kila siku unawaza wepesi, mara unaitwa, unamyita rafiki yako, ulipoitwa, unatongozwa, unakataa lakini bado unaliweka lile hata ukikutana na mtu bado unamuwazia wakati ulishampa majibu. Yaani thinking past on your present na molding your future with your past.over my dead body, hutolala mapema either utakua mraibu wa porno au maskini milele. Kiufupi hata story flani za kusadikika achana nazo. Hizo ndizo zitakufanya ukeshe.
Ila i am done with my research, hutoniona tena karibu na post zako😂😂😂😂.