Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Ufamasia umeanza lini.cetirizene 2 tramadol 1 kwisha kazi una lala chap
Ufamasia umeanza lini.cetirizene 2 tramadol 1 kwisha kazi una lala chap
😁😁💔Tafuta mtu akusukumie rungu upate amani utalala vizuri una nyege nyingi sana
🙌🙌🙌🙌Naona umesema ukiwa nalo na usipokuwa nalo sawa tu
Kunywa Glass Moja Ya Dry 🍷 WineHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
kabla hauja kuwa nusu albino 😁😂Ufamasia umeanza lini.
Nimeacha kunywa pombe mkuuKunywa Glass Moja Ya Dry 🍷 Wine
Utapata Raha Duniani Usingizi Nyororo Kama Umelala Mbinguni
Tumia madini ya magnesium nunua magnesium supplimentNdiyo nini mkuu?
Hiyo Siyo PombeNimeacha kunywa pombe mkuu
Alafu naweka kwenye niniTumia madini ya magnesium nunua magnesium suppliment
Nitajie hizo dry wine ni kama zipi?Hiyo Siyo Pombe
Tuko wengi tupeane mbinuHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Leo ntanunua Cetrizene nimeze nione kama ntapata nafuuTuko wengi tupeane mbinu
Mi nishakunywa hadi hizo nini sijui za usingizi na bado sikuwa nalala nikaachana nazoLeo ntanunua Cetrizene nimeze nione kama ntapata nafuu
nenda pharmacy nunua magnesium utumie matumizi utaambiwaAlafu naweka kwenye nini
Ugali usiku si ntasababisha matatizo mengine jamaniKula kaugali kadogo na nyanya chungu nyingi plus bamia mixer zimeungwa vizuri za kupaka na sio michuzi!shushia na ka chai ya rangi vikombe viwili hivi!!mbona utalala sana !!?
Asante mkuunenda pharmacy nunua magnesium utumie matumizi utaambiwa
Kadogo!!yapi hayo!!?au show!!?Ugali usiku si ntasababisha matatizo mengine jamani
Shida ni hiyo bandleHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Au una mawazo mengiMi nishakunywa hadi hizo nini sijui za usingizi na bado sikuwa nalala nikaachana nazo