spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
magnesium deficiency
Yaani hata mimi napata shida sana na hiliBinafsi siwez kucontrol matumizi ya simu na hili ndo tatizo langu nakosa usingiz kabsaaa
Nielewesheni jamani nyangumi anaishije nchi kavuHahhaha....ila wewe bhana
Ndiyo nini mkuu?magnesium deficiency
Puuzia mambo, usiyaweke akilini muda mrefu, kula vizuri, jipe umuhimu na usimpe mwengine, jali mambo yako na mipango yakoDuh! Kwahiyo nifanyaje sasa?
Nilidhani una tatizo la kukosa usingizi kweli kumbe bando ndo linakusumbuaVituko gani tena mkuu?
Nacheka tu 😆Ndiyo nini mkuu?
Usicheke niambieNacheka tu 😆
Kweli ninalo mkuuNilidhani una tatizo la kukosa usingizi kweli kumbe bando ndo linakusumbua
Asante mkuu nitafanya hivyoPuuzia mambo, usiyaweke akilini muda mrefu, kula vizuri, jipe umuhimu na usimpe mwengine, jali mambo yako na mipango yako
Lakini usipokuwa na bando halijitokezi?Kweli ninalo mkuu
Linakuwepo nakuwa nawaza sana hadi usingizi haujiLakini usipokuwa na bando halijitokezi?
Huwa ninashiba lakini usingiz haujiSiku moja jaribu kushiba vizuri ubakize na pesa ya kutosha mfukoni tuone kama utaota. Utalala fofofo.
Kwa hiyo ukiwa na bando ndo usingizi hauji?Linakuwepo nakuwa nawaza sana hadi usingizi hauji
Nikiwa nalo na nisipokuwa nalo sawa tuKwa hiyo ukiwa na bando ndo usingizi hauji?
Sasa mbona umesema hasa ukiwa na bando😃Nikiwa nalo na nisipokuwa nalo sawa tu
Si ndiyo huwa linazidi jamaniSasa mbona umesema hasa ukiwa na bando😃
Naona umesema ukiwa nalo na usipokuwa nalo sawa tuSi ndiyo huwa linazidi jamani
Tafuta mtu akusukumie rungu upate amani utalala vizuri una nyege nyingi sanaHili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?