RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Usitumie dawa kabisa!Fanya kama nilivyokuelekeza!
DawaAsante mkuu
DawaAsante mkuu
Kitaalamu haishauriwi kula vyakula kama hivyo usikuKadogo!!yapi hayo!!?au show!!?
Mungu wangu inamaana kila siku utameza dawa Mwenyezi Mungu atusaidie watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa soma neno la Mungu likae sana moyoni mwako utamshinda shetani na kazi zake zote ndo ushauri wangucetirizene 2 tramadol 1 kwisha kazi una lala chap
Ugali bamia na nyanya chungu sijui kama ntawezaUsitumie dawa kabisa!Fanya kama nilivyokuelekeza!
Dawa
Hata lisipokuwepo mkuuShida ni hiyo bandle
Ndio dawa ya usingizi au unataka mixer na nyama kidogo!!?jaribu!ugali kama haupandi kula na wali!Ugali bamia na nyanya chungu sijui kama ntaweza
Shetani na kukosa usingizi wapi na wapi mzee😂😁Mungu wangu inamaana kila siku utameza dawa Mwenyezi Mungu atusaidie watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa soma neno la Mungu likae sana moyoni mwako utamshinda shetani na kazi zake zote ndo ushauri wangu
Hata liShida ni hiyo bandle
Hii lugha hapa umeniacha njia panda mkuuMsongo wa mawazo.
Kutumia vifaa vyenye mwanga wa buluu kwa muda mrefu ...
AI Overview
+8
Several factors, both internal and external, can impact sleep, including stress, sleep environment, lifestyle habits, underlying medical conditions, medications, and exposure to light.
Here's a more detailed look at the factors that affect sleep:
Internal Factors:
Stress and Mental Health: High levels of stress, anxiety, or depression can make it difficult to fall asleep or stay asleep.
Medical Conditions: Certain medical conditions, such as heart disease, chronic pain, or sleep apnea, can disrupt sleep patterns.
Medications: Some medications can interfere with sleep, either by causing drowsiness or by making it harder to fall asleep.
Age: Sleep needs and patterns can change with age, with older adults often experiencing more sleep disturbances.
Genetics: Genetic factors can influence sleep duration and timing.
Substance Use: Caffeine, alcohol, and other substances can interfere with sleep.
External Factors:
Sleep Environment: A noisy, bright, or uncomfortable sleep environment can disrupt sleep.
Lifestyle Habits: Poor sleep hygiene, such as irregular sleep schedules, heavy meals before bed, or screen time before bed, can negatively impact sleep.
Exposure to Light: Exposure to light, especially blue light from electronic devices, can interfere with melatonin production and make it harder to fall asleep.
Diet and Exercise: The timing and type of food and drinks consumed, as well as exercise habits, can influence sleep.
Social Factors: Social stressors, such as family problems or work pressures, can also impact sleep.
Environmental Factors: Noise, temperature, and light pollution can affect sleep quality.
Walokole wana kazi sana😁😁😁Shetani na kukosa usingizi wapi na wapi mzee😂😁
Mimi kupika usiku ni mvivu shidaNdio dawa ya usingizi au unataka mixer na nyama kidogo!!?jaribu!ugali kama haupandi kula na wali!
mimi nimesema asome neno la Mungu litamsaidia sio kumeza dawa umesikiaShetani na kukosa usingizi wapi na wapi mzee😂😁
Mwenyezi Mungu anasema neno la Mungu likae sana kwa wingi ndani yenumimi nimesema asome neno la Mungu litamsaidia sio kumeza dawa umesikia
Mimi nasomaga lakini hata sisaidiki🥲🥲mimi nimesema asome neno la Mungu litamsaidia sio kumeza dawa umesikia
Mie pia natafuta tibaTiba yake nini?
HongeraAh wapi.. kachanga☺️!
Kuna mdau ameshauri kutumia dawa kwenye replies hizo mwanzoMie pia natafuta tiba
Ok ngoja nirudi nioneKuna mdau ameshauri kutumia dawa kwenye replies hizo mwanzo