kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #221
Pamoja mkuuOk, fanya hivyo
Pamoja mkuuOk, fanya hivyo
Kula bilinganya kila siku.....kama mboga..mutanishukuru ...!!Hayo majani nayapata wapi mkuu?
Sina simu!Wewe hauna?
Sawa mkuu nitakulaKula bilinganya kila siku.....kama mboga..mutanishukuru ...!!
Pole mkuuSina simu!
We Binti Sayuni03 usijemsikiliza huyo kengekabla hauja kuwa nusu albino 😁😂
😁😁😁kwanini jamani?We Binti Sayuni03 usijemsikiliza huyo kenge
Mchawi huyo😁😁😁kwanini jamani?
Amekuroga?Mchawi huyo
Kama upo Dar, Mwanza au Arusha nenda supermarket kubwa yoyote.Hayo majani nayapata wapi mkuu?
Umekuwa nalo kwa muda gani? Kwa uzoefu wangu, kukosa usingizi ni jambo linaloweza kutokea kwa muda na bila sababu yoyote unayoweza kuidhania. Mimi huwa inatokea japo mara chache chache. Tatizo ni pale linapotokea kwa muda mrefu au linapokuwa la kudumu.Hili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Asante mkuu ngoja nikayacheki baadaeKama upo Dar, Mwanza au Arusha nenda supermarket kubwa yoyote.
Muda mrefu sana mkuu hata inaweza kufika miaka miwili sasaUmekuwa nalo kwa muda gani? Kwa uzoefu wangu, kukosa usingizi ni jambo linaloweza kutokea kwa muda na bila sababu yoyote unayoweza kuidhania. Mimi huwa inatokea japo mara chache chache. Tatizo ni pale linapotokea kwa muda mrefu au linapokuwa la kudumu.
Ndiyo maana huwa silali mkuuUnalalaje na hali ngumu hii🤣
Hilo neno Mkuu litoe hapo!Pole mkuu
Kwanini?Hilo neno Mkuu litoe hapo!
SilipendiKwanini?
Aya naliacha mdauMimi silipendi
Hee hata hilo linanikera pia! Hem sema tu POLE ukitaka kuongezea neno weka japo NDUGU au hata MPENZI itapendeza tu🤤Aya naliacha mdau