Ya kale dhahabu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 508
- 711
Tiba hapo ni mazoezi tu
Natoka job usiku mkuu na nikifika nakuwa naona uvivu kufanya mazoeziFanya mazoezi hasa jioni,mwili ukichoka ukiingia kitandani dakika tano nyingi sana wa juzi
Basi fanya asubuhi kabla ya kwenda kazini, amka mapema fanya tizi,jiandae na job, acha kuusikilizia mwili huoNatoka job usiku mkuu na nikifika nakuwa naona uvivu kufanya mazoezi
Ntajitahidi japo ni mvivu kufanya mazoeziBasi fanya asubuhi kabla ya kwenda kazini, amka mapema fanya tizi,jiandae na job, acha kuusikilizia mwili huo
muombe Roho mtakatifuMimi nasomaga lakini hata sisaidiki🥲🥲
Namuombaje??muombe Roho mtakatifu
muombe Roho mtakatifu ndo tulipewa hapa duniani wa kutusaidia kuomba maana sisi hatuweziNamuombaje??
Ntajitahidimuombe Roho mtakatifu ndo tulipewa hapa duniani wa kutusaidia kuomba maana sisi hatuwezi
ni aina ya asali toka kwenye nyuki wanaopollinate manuka tree/flower.nzuri sanaNdiyo nini hiyo mkuu?
Inapatikana wapi hiyo?ni aina ya asali toka kwenye nyuki wanaopollinate manuka tree/flower.nzuri sana
Ok, fanya hivyoNtajitahidi japo ni mvivu kufanya mazoezi
Usinywe hizo dawa tafadhari. Utapata shida ya afya na dependency ya hizo dawa kisha unaweza kuwa teja.Kesho ntazinunua hizi
Tramadol? Unataka awe teja au?cetirizene 2 tramadol 1 kwisha kazi una lala chap
hapana, uki piga combination hiyo, Kuna siku humezi kabisa.Tramadol? Unataka awe teja au?
Tramadol sio dawa ya kumeza hovyo hovyo tu. Ndio maana it's not an OTC painkiller ila tu mafamasia wetu wanazigawa kimakosa.hapana, uki piga combination hiyo, Kuna siku humezi kabisa.
hiyo prescription nili pewa na daktari mkubwa tu, na ali nielezea issue zote. Ikiwa combined na hizo cetirizine haiko active kwa asilimia kubwa.Tramadol sio dawa ya kumeza hovyo hovyo tu. Ndio maana it's not an OTC painkiller ila tu mafamasia wetu wanazigawa kimakosa.
Hayo majani nayapata wapi mkuu?Usinywe hizo dawa tafadhari. Utapata shida ya afya na dependency ya hizo dawa kisha unaweza kuwa teja.
Tafuta majani ya chai ya hibiscus tea uwe unakunywa jioni.
Fanya mazoezi jioni kila siku.
Zima Simu au zima data ukifika usiku saa 2.
Simu janja na computer zinasababisha sana hiyo shida ya imsonia, uchovu, boredom, anxiety, n.k.
Kusoma si ndo narudi tena kwenye matumizi ya simu hapo mkuuJaribu pia kusoma kitabu ukiwa kitandani wakati wa kulala.
Kitakulaza haraka sana.
Iwe soft copy au hard copy.