Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ni kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama kobokoHakuna maji mabaya Tz kama maji ya jambo kuna kipindi yalikua na harufu ya udongo
Jambo product zake huwa zina ladha ya hovyo alaf ni mzee wa kuiga product za azam nae anazo ice-cream kama zile za azam ila ukionja zina kereketa kwenye koo mbaya kabisaNi kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama koboko
labda ni hvyo, kampuni gan sasa.Acha wewe maji yanayokimbiza ya 100 dripu mifuko ya ashkrimu.
Hakika mkuu afya anaupiga mwingiAfya anakimbiza katibia Tanzania nzima, hill ni regional sana sana ipo dar na bagamoyo.
😂😂😂😂Mungu hausiki kwenye mafanikio ya biashara ni ubora wa bidhaa, marketing, ubunifu na nidhamu ya kazi
Huyu jamaa wa afya ni nan ? Ana balaa katika usambazaji.Afya anakimbiza katibia Tanzania nzima, hill ni regional sana sana ipo dar na bagamoyo.
Na vyakula vya Kuku..Naona amehamia na kwny juice, energy drinks.
Kuna jirani yangu alienda ktk mkesha kwa Mwamposa ndio kaniletea haya maji nimeshangaa kwamba Nabii kua anatengeneza maji muda sio mrefu ataharibu soko la uahai na afya kwani atauza sana uko mikoani.Bora Nabii Wetu Wa VUKA NA CHAKO Naye Kafungua Kiwanda Cha Maji Ya Upako Ambayo Mikoani Mtayapata Soon. Amenunua Semi Trailer HOWO Nne Tutakunywa Kiupako
Vita Ni MbinuKuna jirani yangu alienda ktk mkesha kwa Mwamposa ndio kaniletea haya maji nimeshangaa kwamba Nabii kua anatengeneza maji muda sio mrefu ataharibu soko la uahai na afya kwani atauza sana uko mikoani.
Hao ni waarabu wanaomiliki kampuni ya oilcom na kiwanda cha cement wana nguvu kubwa ya mtaji na wanakopesheka benki ndio maana wanao uwezo wa kusambaza nchi nzima. Ujue changamoto kubwa kwenye hivi viwanda vya vileo na maji ni mashine za kuzalisha chupa zina gharama kubwa sana kuziendesha kwa mtu mwenye mtaji mdogo lazima utafanya biashara yako kwenye kieneo kidogo tu kama wanavyofanya hill water ,ndanda spring,Mkwawa water,Mufindi water, Njombe na mengineyo.Huyu jamaa wa afya ni nan ? Ana balaa katika usambazaji.
Huku kusini yanabamba
View attachment 2859336
Afya ni mkubwa, hill, ni mdogo, hivyo maduka ya kibaha ndiyo utayaona maji ya hill mengi, ila ni maji mazuri zsidi ya afya.Afya bado anatamba
Hawa jamaa nomaHao ni waarabu wanaomiliki kampuni ya oilcom na kiwanda cha cement wana nguvu kubwa ya mtaji na wanakopesheka benki ndio maana wanao uwezo wa kusambaza nchi nzima. Ujue changamoto kubwa kwenye hivi viwanda vya vileo na maji ni mashine za kuzalisha chupa zina gharama kubwa sana kuziendesha kwa mtu mwenye mtaji mdogo lazima utafanya biashara yako kwenye kieneo kidogo tu kama wanavyofanya hill water ,ndanda spring,Mkwawa water,Mufindi water, Njombe na mengineyo.
Ile package ni nzuri ,ila haifai kwa matumizi ya maji, package imekaa kama chupa ya lotion, haifai kabisaYes, dew drop, yamekaa poa saaana.
Dsm ni afya na uhai mzee acha uongo .Hill ni dsm ila mikoan huko azam anakimbiza sana
Hawa jamaa wako watatu kwao, kuna kaka yao mkubwa nafkiri ameshafariki alikua na biashara kubwa sana kule shinyanga na kanda ya ziwaHill anajua sana kuanzia maji, vinywaji baridi, vyakula vya mifugo, hadi chicken (hapa kwenye chicken Interchick wajiangalie sana)
Huyu mwamba kaja kufanya mapinduzi makubwa sana
Mungu hausiki kwenye mafanikio ya biashara ni ubora wa bidhaa, marketing, ubunifu na nidhamu ya kazi
Sahihi kabisa ,nafkiri ndo brand ya maji yenye package mbaya zaidiDew drop yana design mbaya ya chupa kuliko maji yoyote Tz na Dunaini, in term of appearance design inavutia ila kwa matumizi jau, ukiiahika chupa inabonyea yaani huwezi ibeba kwa kuishika inabonyea laini sana Uncomfortable.
SahihiYeye na siblings ni wafanyabiashara wazuri, wote wako na mafanikio mazuri katika kile wanafanya. Hongera zao!