Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Huyu jamaa wa afya ni nan ? Ana balaa katika usambazaji.

Huku kusini yanabamba
View attachment 2859336

Hill pia ana biashara ya agrovet hii ya maji kaanza juzi juzi tu hata miaka 10 hana. Biashara yake kubwa aliyokuwa nayo miaka mingi ilikuwa ni kutengeneza chakula cha mifugo hasa kuku.
 
Bila Baraka za Mungu hutoboi kijana umelewa maji ya hill?
 
2024 uwe na ujasiri kama Hill water. Usiogope yoyote, weka mipango, tekeleza, sacrifice. Utatoboa.

NB: Mangi hatumii hirizi bali Biblia na bidii.

Kanda ya ziwa jambo ameishika

Ukiitaja hil water basi usiisahau due drop


1 due drop
2 hill water na uhai
3 jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…