Ni mwenyeji wa shinyanga?Jambo yuko vizuri. Mmiliki ni Salum ni mmbunge huko Shinyanga.
Ana pesa nyingi sana, sijui katolea wapi? Ngoja wakongwe waje
View: https://youtu.be/NtoEVfbVwGs?si=hhIZH18QZS14iVZb
Wanasema ni mzawa ila ni mwarabu fulani hivi aina ya waarabu ambao mababu na mababu zao wapo Tanzania kabla ya ukoloni, alikuwa mmbunge huko Shinyanga mpaka kisukuma anakiongea.Ni mwenyeji wa shinyanga?
Kwanini hakuweka kifupi cha jina lake na la mke wake? ni ubinafsi au?Hillary Shoo, Mmiliki wa Hill water.
So hill ni kifupi Cha Hillary.
Ndugu wote watatu makampuni yao yameanza na majina yao.Kwanini hakuweka kifupi cha jina lake na la mke wake? ni ubinafsi au?
Wale Hill water sio wa mchezo mchezo2024 uwe na ujasiri kama Hill water. Usiogope yoyote, weka mipango, tekeleza, sacrifice. Utatoboa.
NB: Mangi hatumii hirizi bali Biblia na bidii.
Kuna chupa fulani hivi zinakuwa nyeupe, kale kachupa walidesign vizuri ika naona hawajasambaa sana wenyewe.
Kunywa Pangani, Hill water, Ndanda, Dasani hutakaa kamwe ufikirie kunywa maji ya Afya.
Yalipotoka awali nilikuwa nayaelewa lakini siku hizi ni hovyo kabisa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Maji ya kuchemsha ndiyo bora no 1 yakifuatiwa na maji ya mvua ila mimi huwa napenda sana maji ya mvua kuliko ya kuchemsha.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nifatilie comment au hali halisi mtaani??Fuatilia comment zilizopita utaelewa why nimesema hill.
Lake zone (Mwanza, Geita, Simiyu na Shinyanga) Kuna matajiri wengi wa kiwango cha kati wengi ambao Wana hela sio nyingi sanaaaa lakini sio chache pia yaani wa kiwango cha 500m kwenda juu. Na wengi unakuta ni wachimbaji wadogo wa madini hivyo likitema tu wanafanya mamboJambo yuko vizuri. Mmiliki ni Salum ni mmbunge huko Shinyanga.
Ana pesa nyingi sana, sijui katolea wapi? Ngoja wakongwe waje
View: https://youtu.be/NtoEVfbVwGs?si=hhIZH18QZS14iVZb
Aisee! Nimecheka sana kwa hili la "chupa lake liko kama koboko"Ni kama maji flani yaliyoitwa meru spring,yalikuwa na harufu ya tindiga,yalishindwa mapema mno,maji mengine yaliyogomewa arusha ni Azura,yanapendwa misibani tu,chupa lake liko kama koboko
Kwa eneo lipi?—Ubora au Mauzo? Kuna kipindi nilikuwaga nawaza labda kuna Govt Directive inayotaka maji ya Kilimanjaro ndio yatumike.Kilimanjaro water & Dasani hawana mpinzani hapa Tanzania 🇹🇿