Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

Jambo product zake huwa zina ladha ya hovyo alaf ni mzee wa kuiga product za azam nae anazo ice-cream kama zile za azam ila ukionja zina kereketa kwenye koo mbaya kabisa
Jamaa bado hawajakaa kwenye mstari vizuri
Jambo hata Maji yake Ni ya hovyo
Dew drop Wana maji mazuri , Ile Chupa ya 600mls ipo poa saaanaa
 
Kuna chupa fulani hivi zinakuwa nyeupe, kale kachupa walidesign vizuri ika naona hawajasambaa sana wenyewe.



Dew drop?

Kama ni hao Maji hayo naona ndio ya kwanza kwa ubora nchini.

Ni matamu sijapata kuona.

Kilimanjaro ilikuwa zamani siku hizi tangu wapewe wa china ni mabaya afadhali hata afya.

Kilimanjaro wanauzia jina la zamani with time wengi watazidi kujua kuwa ni low quality water kama uhai na hill water.
 
Kanda ya ziwa bila jambo bado sana

Katavi,rukwa,songwe bila dew drop utapotea.
Arusha,kilimanjaro kilimanjaro
nb: wekeni na huko kwenu.



Jambo nayo ni Maji matamu sana , yabaridiii hayana chumvi hata kidogo.

Sijui Kwanini hayapatikani Dar es salam na maeneo mengine?

Yaani yenyewe ni mwanza tu na shinyanga Basi.

Jambo na Drew drop wanaongoza kwa ubora wengine wanajikongoja.
 
Kanda ya ziwa bila jambo bado sana

Katavi,rukwa,songwe bila dew drop utapotea.
Arusha,kilimanjaro kilimanjaro
nb: wekeni na huko kwenu.



Maji ya Kilimanjaro ubora ilikuwa zamani siku hizi hatahayako sold,

Yako kama uhai na hao hill water na afya.

Yaani badala ya kunywa Kilimanjaro ni afadhali kunywa afya yana ubaridi na utamu fulani hayana chumvi wala uchungu mdomoni.
 
Back
Top Bottom