Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Yote tisa, lets agree hapa, (na hapa ukibisha utakuwa mbishi)
Ni kweli rapcha kamfanya dizasta atrend
Saivi Tribulation ina views 24k kwa masaa 5...Dizasta hajawahi kuwa na hiyo traffic
 
Sasa unarap kuhusu mapenzi unataka ujigambe kwa kipi?

Unashindwa hata kuzingatia muktadha?

Mimi nazungumzia aina ya rap yake jinsi ilivyo yani role yake, sijasema kila ngoma au hana ngoma ambayo ka rap nje ya hapo

Kuanzia Augost 13, Hip Hop, I'm professional kuja chini huko asilimia 85 ka rap majigambo

Na usini quote vibaya ukafananisha majigambo yake na hawa rappers wanaosifia mademu na pesa

Majigambo ya Fid Q yapo kwenye category ya MC, nadhani unaelewa utofauti kati ya Mc na rapper japo wote kwenge ku delivery wana rap
 
Yote tisa, lets agree hapa, (na hapa ukibisha utakuwa mbishi)
Ni kweli rapcha kamfanya dizasta atrend
Saivi Tribulation ina views 24k kwa masaa 5...Dizasta hajawahi kuwa na hiyo traffic
Hata Dizasta kamsaisia Rapcha kutrend

Unafikiri kabla ya hizi diss huyo Rapcha alikuwa anafikisha hizi numbers kwa muda mfupi kama anavyopata kwenye hizi diss?
 
Ngoma kama kiberiti,Mafanikio,Ulimi mbili,sihitaji marafiki,ielewe mitaa,propaganda...nk. nk. zote sio majigambo.
au unamaanisha nini unaposema majigambo? Naona kama majigambo ni box dogo sana unalotaka kumuweka fid.

Anyway...hayo 'majigambo' ya fidq ni level moja na Dizasta?
 
Hata Dizasta kamsaisia Rapcha kutrend

Unafikiri kabla ya hizi diss huyo Rapcha alikuwa anafikisha hizi numbers kwa muda mfupi kama anavyopata kwenye hizi diss?
Tusisahau rapcha ana hitsong lisa.
Unazijua numbers za lisa?
Tusimung'unye mung'unye maneno, Rapcha yupo mainstream na anamsaidia kumleta Dizasta mainstream kupitia hizi diss.
Dizasta aspopita na huu upepo ndo bas tena.
Anatakiwa azichange sana karata zake hapa aende mainstream, ila kwa hizi pigo za ngoma ya dakk 11 ndo anafel
 
Majigambo ni kujiongelea wewe mwenyewe kwa kujikweza zaidi

Kwenye Rap ipo ya namna mbili

Moja kujikweza kwenye mambo yako yanayokuhusu wewe binafsi mambo ambayo hayaigusi bila jamii (hii inafanywa na marapa)


Mbili kujikweza kwenye mambo ambayo yanamgusa kila mtu ndani ya jamii (hii inafanywa na ma MC)

No sina maana ya kumuweka kwenye eneo dogo Fid Q ila ni pale napojaribu kuonesha utofauti kati yake na Dizasta.

Fid Q pia kwenye kuizungumzia jamii pia ni kitu ambachi anakifanya kwenye kila wimbo ila namna anayotumia ku delivery ni mfumo flani hivi wa majigambo

Swala la level nimelikataa kuliongelea hata kwenye post yako ya juu

Ni kwamba hata ungesema Profesa Jay na Fid Q nani mkali bado nisingetoa jibu

Ila ukiniambia nifanye comparison ya kuangalia katika miaka hii nani katoa nyimbo kali naweza kusema flani katoa kali

Na ndio maana nimekuambia Fid Q wa mwisho ni yule kwenye Sumu
 
Fid Q dot Com huyo ndio alikua Fid,
Acha uongo we baba fid Q dot com Ni ya mwaka gani?????
Hapo n kabla hata hajatoa mwanza mwanza miaka Kama minne mbele... Na hakuna ngoma ya hip-hop hapa bongo itaigusa hiyo ngoma... Kwann utudanganye baadae akaja kutoa Mapini mengine makali Kama sihitaji marafiki, ielewe mitaa, Siri ya mtungi, bongo hip-hop na Sumu... Hizo zote zimetoka 2010+ kwanini useme uongo [emoji28]
 
Wewe sema tu ulimchokea hapo
ila kuna ngoma kali kama mafanikio,kiberiti,imeisha nk.
 
Rapcha ana hit song ya Lisa kwanini hana hit song ya nyimbo zingine

Kwanini nyimbo zake zote zisiwe na hit song kama kweli kigezo cha hit song ni ubora na kuwa mainstream sana?

Hit song inaweza ikatokea hata kwa coincidence tu

Mwaka 2017 Darasa alikuwa na hitsong ya maisha na muziki ambayo ilimfunika hadi Diamond ambaye ni msanii wa mainstream kwa muda wote

Yule dada aliyeimba yerusalem unafikiri hana nyimbo zingine?

Ulifatilia Diss ya Mawenge kwa Nikki? Uliona views alizo gain kwa muda mchache tangu aachie ile diss

Kwa hiyo utasema zile numbers alibustiwa na Nikki kutokana na fame yake kwenye mainstream?
 
Wewe sema tu ulimchokea hapo
ila kuna ngoma kali kama mafanikio,kiberiti,imeisha nk.
Yap inaweza ikawa ni hoja kwasababu pengine nilichokuwa nakikubali kutoka kwake sikuwahi kukiona kwenye track zake mpya
 
Dizasta ametoa taarabu DK 11 za nn wakati Dk 2.30 zingetosha tu
 
Hapo n kabla hata hajatoa mwanza mwanza miaka Kama minne mbele
Yes kitambo hicho baba Fid hataki mchezo na jukwaa, ana hasira na Jukwaa balaa kabla hajatoa I am Professional,

dada zako wako wakiniona mtaani utasiki Fid Q/
Fid Q dot Com Mwanza ndio home
 
Hahahahhahaah we jamaa sijui Kama unajua unachokiongea....
Kwahiyo Dizasta Hana hit song ..
Umeiskiliza kanisa? Sister kadata, no body is safe, hatia, siku mbaya na SHAHIDI...

Kwanza n aibu Dizasta kubato na dogo Kama Raptcha ambaye hana punchline hata moja tangu aanze kuchana...
 
nakuhurumia kafifte kako usije laza familia njaa siku 3
Hahhahahah maneno ya nn anzisha Uzi lengo sio hiyo 50k uthibitishe we n mkali hata Simba ya Yanga hutumia mabilioni kushinda NBC tittle yenye hela kiduchu ya kumsajili tu Aziz Ki au Chama... Njo tubato utuoneshe unayoyasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…