Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

Art is as potent as its audience.
Kazi kuu ya mziki ni kuburudisha, sasa ukiona ngoma yako haihit na ina mistari mikali ujue haiburudishi

sawa mpo nyie mnaoburudika na mistari, ila ni wachache

Artist akiona ngoma yake haihit asilaumu wasikilizaji,inabidi astudy kwanzaa market then awape wanachotaka waburudike.

Afu sio kwamba watu hawapendi mistari mikali, wanapenda ndio,ila kuna vitu vya ziada zaidi ya apo wanataka.....dizasta inabidi acheze na wote yani ngoma inaburudisha na iwe na mistari mikali.
 
ile kichwa imefunga kazi kula msuba tu
 
tusisahau hao watu wa media they are just that..... 'watu'
Na wao pia ni fans na wanareflect soko.
kwahyo my point ukiwa unajua kwendana na soko hao media watakufata wenyewe tu.
Mbona Rapcha Majani alifunga safari mpaka Shinyanga kumchukua dogo wa form 5?

Hizi stori za media inanibania huwa kwangu hazimake sense
 
Artist ni fasihi na fasihi haikupi kitu kimoja tu (burudani) kama ambavyo unataka kutuaminisha.

Artist anaweza akakuelimisha pia sasa katika hizo nyimbo unazoziita hit song kuna elimu yeyote mle?

Wasanii wa namna hiyo ambayo una wish Dizasta angekuwa, unafikiri mtaani kwenu hawapo?

Why hawasikiki wakati wana rap commercial unayoifikiria kuwa ni nzuri kupata hit?
 
"So ama rack him, giving him a Big L,
Watching him die by my side,
While I enjoy the big sale"


Hizo double entendres zimepigwa humo ni hatari
Rack him =Rakim
Big L(Big Lose) pia rapper mtata Big L
 
Art ina vingi zaidi ya burudani lakini burudani ndio Msingi mkuu wa sanaa.
hivi vingine kama Kuelimisha ni kama tyles na rangi tu kwenye nyumba.
Mimi simjui msanii anayeburudisha akalala njaa.
 
Kwanza unatakiwa ujue vitu kadhaa

Kuchukuliwa na mtu na ukawa chini yake haina maana kwamba anafanya hivyo kwa kusapoti kipaji chako bali na wewe unakuwa ni sehemu ya kuendesha maisha yake.

Meneja ameona kwa umri wa huyu dogo hawezi kuhitaji mambo mengi zaidi ya fame na vipesa vya kubadilishia nguo tu

Which means angemfata mtu anayejitambua kama Dizasta au P Mawenge wangesema tuandikishane mkataba mia nachukua asilima hizi na wewe utakuwa unachukua hizi (kitu ambacho meneja asingeruhusu)

Lakini jambo la pili ni kwamba hao kina Dizasta sio kama hawafatwi na mameneja, ishu ni pale meneja anapotaka akupangie mtindo flani wa uimbaji anaouona yeye kuwa ndio unafaa.

Sasa kwa mtu kama Rapcha hilo kwake inaweza ikawa ni easy sana lakini kwa Dizasta hawezi kukubali

Muangalie Maarifa aliyekuwa anachana way back akiwa kibaha mfananishe na huyu Maarifa baada ya kukutana na Madee
 
Moja
Mbili
Tatu
Nne

Nikichambua hadi mwisho na ukisikiliza sivyo km ulivyoandika, hakuna vina na ameenda nje ya beat pia, kwenye ukweli sema ukweli na mrekebishe mtu sio kila kitu unasifia tu akibolonga mchane pia ili akae kwenye mstari
Kumbe hata hujui rap
 
Art ina vingi zaidi ya burudani lakini burudani ndio Msingi mkuu wa sanaa.
hivi vingine kama Kuelimisha ni kama tyles na rangi tu kwenye nyumba.
Mimi simjui msanii anayeburudisha akalala njaa.
Nature ya Hip Hop ni kuelimisha zaidi kuliko kuburudisha na ndio maana ilikuwa ikitumiwa kwenye maswala ya kiharakati za uhuru

Baadaye ndio watu wakaja na modern style ambayo humo wakaweka maswala ya burudani
 
Sio lazima wakati mwingine kutumia vina..au umesahau ushauri aliopewa fid q na Kabacha wa kwanza unit??
Unarap wewe una ngoma ngapi wewe hadi sasa? Unaejiona unajua ku-rap una ngoma ngap zinazofahamika? Battle ngap ushafanya hadi sasa unaejua ku-rap? Au unabwata tu na wewe uonekane? Fack U
 
Bahati mbaya sijazoea lugha ya matusi, nilidhani tupo kupeana mawili matatu...endelea boss
Umezingua usijitie ujuaji unajifaragua now get off, usirudie tena kujifaragua kwamba wewe ndio rapper wewe ndio unajua kuhusu rap wengine hawajui kuhusu rap, ujinga huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…