Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize na Marioo wanafanya vizuriNajua wengi ni mashabiki wa wasanii fulani fulani wa mziki pendwa wa hip hop ila leo nataka tuangazie kidogo hawa ma underground hip hop.
Katika tansina ya muziki huu wa hip hop tunaona jinsi gani evolution ilivyobadili ladha ya mziki huu kiasi cha wasanii kuimba nyimbo ambazo hazina lyrical wala critical.
List yangu ni hii hapa na wewe unaweza kuweka yako.
1. Dizasta vina
2. Nala mzalendo
3. Kadgo
4. Boshoo ninja
5. Kinya mistari
6. Shaolin senetor
7. Mbeya boy chuma
8. Hamis mistari
9. Ado gado
10. Nyenza MC
Wapo wengi ila kwasasa nianze na hao halafu chini nitanukuu mistari yao katika baadhi ya nyimbo zao
Diego naladonaNala mzalendo
ndugu na jamaa
Alhamdulilah mshukuru mungu amekupa pumzi, tumia kila dakika kujiepusha na upuuzi/
Amekupa leo amekupa jana alikunyima juzi, mshukuru sana mshukuru maulana ye ndo mwenye maamuzi/
Ameshusha viumbe, dunia duara ndo maana binadamu tunazungukana kumbe/
Mwema wa sasa mbaya baada ya sekunde, kua na msimamo simama imara usiyumbe/
Watakuja wawili kwa muda tofauti, watakufanya ufikiri ujiulize we ni yupi/
Wakwanza atakuambia we ni boya sana, akija wapili atakuambia we ni bora mwana/
Kaa mbali na wanaoumiza moyo wako, ishi na wale ambao watatimiza ndoto zako/
umezaliwa kwenye mwanga hilo giza sio lako, unaweza jiamini fanya miujiza yako/
Unakaa nao kijiweni unashinda home, siajabu kukunyima chakula na kukupa kondomu/
Unafurahi unahisi upo mahala pa amani, shtuka unaishi na mawakala washetani/
Kesho mbali tafuta leo, nyota begani muombe mungu akulinde kesho unaweza ukaamka umefutwa cheo/
Unaweza kufa leo, kisa umemkuta mkeo au mmeo anjirusha na mtu kama kipepeo/
Utapata wapi upendo sikuhizi hakuna, hata ngazi ya familia kuna mambo ya utumwa/
Utaskia mjomba mwanao si amemaliza form four, mwanao ukienda kwao ye ndo wakudeki choo/
toxic fuvu alishampiga cado kitengo wa matitu tatu bila kwenye freestyle ya kumuimbia demu huyu dogo ni sumu kweli kwenye freestyle.Kuna CADO KITENGO na TOXIC FUVU
Toxic ni balaa hata kwenye tracks zake alizowashirikisha mainstreams amewatoa kijasho kwa kuchora mistaritoxic fuvu alishampiga cado kitengo wa matitu tatu bila kwenye freestyle ya kumuimbia demu huyu dogo ni sumu kweli kwenye freestyle.
Vipi dubo jesusson ameishia wapi?Najua wengi ni mashabiki wa wasanii fulani fulani wa mziki pendwa wa hip hop ila leo nataka tuangazie kidogo hawa ma underground hip hop.
Katika tansina ya muziki huu wa hip hop tunaona jinsi gani evolution ilivyobadili ladha ya mziki huu kiasi cha wasanii kuimba nyimbo ambazo hazina lyrical wala critical.
List yangu ni hii hapa na wewe unaweza kuweka yako.
1. Dizasta vina
2. Nala mzalendo
3. Kadgo
4. Boshoo ninja
5. Kinya mistari
6. Shaolin senetor
7. Mbeya boy chuma
8. Hamis mistari
9. Ado gado
10. Nyenza MC
Wapo wengi ila kwasasa nianze na hao halafu chini nitanukuu mistari yao katika baadhi ya nyimbo zao
Nilijua utakuwa unamjua Mzee ..[emoji28] Mbona huyo mwanae Sana dizastavina na nafikiri kipindi cha nyuma waliunda crew Yao inaitwa panorama...Ila Kwasahv naona atakuwa ametulia kidogo na maswala ya mzikiHuyo simjui