Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Marekani kama sio kutumia atomic alishashindwa vita japan itabaki nchi pekee ambayo ilivamia ndani ya marekani na kupiga bandari yao
Jeshi la mtu mmoja risasi ni moja tuu kwa adui , huna chance ya kupiga ya pili, vita ni pam9ja na kuchoma mashamba na mali, hayahitaji risasiMimi pia nimeshangaa mkuu!!! Au labda pengine alikuwa anatumia mawe badala ya risasi
Sent using Jamii Forums mobile app
niliwai kuona documentary yake kwenye channel moja ya kijapan inaitwa NHK world alini inspire sana kule Japan wameweka na makumbusho yake kabisa kwa ajili ya kuwafunza askari uzalendo pia wameweka na silaha pamoja na chakula alichokua anatumia porini nyama ya kukausha za wanyamaGreat! Very touching. Hii kitu imenigusa Sana! Huyu kamanda alikuwa mpambanaji haswaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa walikuwa wanajiuliza kusurrander au kuto surrander baada ya kushushiwa vitu viwili vizitoKama sijakosea huyo bwana alikua anajua vita bado haijaisha
Japanese ni moja kati ya race ya binaadamu nayoikubali sana wana Commitment na Integrity ya hali ya juu.
(Msinioige mawe wajapan ni Mongolian race)
Wazee wa kamikaze ni nouma, wajapan nawakubali sana hawaogopagi. Waliumia sana bada ya serikali yao kusarendaHawa jamaa walikuwa wanajiuliza kusurrander au kuto surrander baada ya kushushiwa vitu viwili vizito
π π π π π πMwongo huyo,miaka 30 huna habari kuwa vita imeisha?hata kwa kuona angani zinapita ndege za abiria bila woga?
Alikuwa anapigana vita na nani komba au popo?.[emoji1787][emoji1787]
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]