Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

Je maandamano ya 77 yatakuwepo?

  • A. Ndio

    Votes: 64 50.0%
  • B. Hapana

    Votes: 33 25.8%
  • C. Sijui

    Votes: 31 24.2%

  • Total voters
    128
  • Poll closed .
Kataa dhuluma,pigania haki hata ukaishi masaa mawili you will be crowned in your next life.💪🏿💪🏿💪🏿💖🔥
 
Hivi haya maandamano yameitishwa na nani! Nasikia tu kuna maandamano! kuna Maandamano!
 
I think this is totally nonsense politically speaking 🐒
 
Kabisa, vinaondoka, na ogopa muoga akikapata ujasiri,
.....Kuanzia asubuhi: Kusanyika katika vituo vikubwa vya magari, hakikisha katika vituo vyote vya magari, pikipiki, daladala, bajaji kuna kuwa na mikusanyiko mikubwa nchi nzima kila mtaa/kijiji, lengo ni kuhakikisha ulinzi wa pamoja, hakuna polisi aliyepanga kuua atakayeweza kushinda mtaa mzima, hii ni hatua muhimu kwa vijana wote nchi nzima...
C&P
 
KATAA MAANDAMANO! USIANDAMANE! HIFADHI AMANI NA UTULIVU WA TAIFA LETU!
 
You're very right comrade..

Lakini pia watu tumeshindwa tu kuisoma psychology ya viongozi wa serikali hii haramu..

Kwa mtu yeyote mwerevu atajua mara moja kuwa, kinachowahangaisha watawala hawa kiasi cha kupaniki hivi, sio usalama wa taifa/nchi na wananchi...

Bali HOFU na WOGA wao huu umejengwa katika kujaribu kuhami na kulinda mali zao. Uharibifu wa 29/10 ulikuwa mkubwa sana na wengi wana hasira mno na kitu chochote kinachoitwa mikusanyiko wenye sura ya maandamano..

Na mtu yeyote akifanya utafiti kidogo tu atagundua mara Moja kuwa utajiri zaidi 95% wa matajiri wa nchi hii ni wa wafanyabiashara walio serikalini, CCM na wenye ushirika na viongozi wa serikali..

Tazameni kwa umakini demeanor ya Mwigulu Nchemba anapoongea kujaribu ku - address ishu ya maandamano...

Asiyejua anaweza kudhani anayasema hayo kwa sababu ni kweli yeye na wenzake Wana nia ya kulinda usalama wa maisha ya watu/wananchi...

Ni waongo na wanafiki hawa kwa 1,000%....!!

Ukweli ni kuwa, wanahofia usalama wa mali zao na za washirika wao waliozipata kwa wizi na uporoji wa masikini wa nchi hii kupitia mifumo ya kiserikali...!

Ule mtekenyo wa 29/10/2025 na siku zilizofuata kwa mali zao kushambuliwa na kuharibiwa huku baadhi wakizikimbia familia zao na kujificha kusikojulikana kwa kuwa umma ulikuwa unawasaka wauwawe, uliwa - paralyze na kuwashitua wengi...

Trust me, baadhi walikufa kwa pressure na wengine wame - paralyze mpaka leo...!!
 
Aiseee 🥲
 
P
 
Ahsante kwa kuwafariji nyumbu. Enhe, utaandamana kamanda nyumbu au?!!!
 
Hahahaa. Serikali yote imeandamanishwa bila kupenda. Tena wao wameanza kuandamana mapema sana. Km lengo lilikuwa maandamani basi limetimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…