Hisia za jamii kuelekea 7/7: Je maandamano yapo au hayapo?

Je maandamano ya 77 yatakuwepo?

  • A. Ndio

    Votes: 64 50.0%
  • B. Hapana

    Votes: 33 25.8%
  • C. Sijui

    Votes: 31 24.2%

  • Total voters
    128
  • Poll closed .
Hali ikoje huko? Mmetoka leo?
 
Sasa ndiyo utajua mambo unayofanyaga wewe ni fake km zile hadithi zako za kubuni. Wengi walioko humu JF ni nyumbu, wafuasi wa chadema hutapata uhalisia wowote humu zaidi ya ushabiki. Kwanza hiyo haiitwi maandamano, hizo ni vurugu, ghasia, uhalifu unaohusisha wizi, uvunjaji na uchomaji wa mali. Sijui unafeli wapi kuelewa maana ya maandamano, sema ukishakuwa mfuasi na mshabiki wa chadema huwezi kuendeshwa na akili zaidi ya hisia, mihemko, chadema imekuwa jambo hatari ni "CULT" ni imani hatari, wafuasi wa chadema ni sawa tu na waliokuwa wafuasi wa Joseph Kibwetere wa Uganda, wafuasi wa Paul Mackenzie wa Kenya au wale wasabato waliojazana uwanja wa ndege kwamba wangeenda Ulaya bila Visa, Passport wala nauli. Wewe umeandaa platform ya kupiga kura, matokeo yataonesha kutakuwa na maandamano yasipokuwepo kesho utatueleza nini kuhusu uhalisia unaouzungumzia, ACHA UTAPELI
 
You are just another silly n stupid idiot!
 
We ndiyo wa hovyo, yaliyotokea tarehe 29 yalianzia wapi? We km siyo una udumavu sijui una shida gani! Huwezi kusema serikali yote ina watu wa hovyo we ndiyo una akili! Acha serikali ifanye kazi yake maana likitokea la kutokea watu km wewe mtakuwa wa kwanza kuilaumu serikali.
 
You are just another silly n stupid idiot!
Kwanza ujue mi siyo mpare km ww sina udumavu wa akili, usifikiri ukitumia kiingereza inabadilisha upumbavu wako, we utadanganya hao nyumbu wa chadema ila siyo watu wenye akili zao, halafu bwanamdogo angalia sana umeingia mjini na viushamba vyako, km wewe siyo idiot subiri tulinganishe matokeo ya utafiti wako na uhalisia! We na wenzako ni km MAZUZU yanayojitekenya na kucheka, ndiyo mmeiharibu JF mpaka ikakimbiwa na Great Thinkers!
 
Mpumbavu wewe acha shobo za *******.Hata bwana ako anajua nina akili ije kuwa wewe.Hizo stress zako peleka kwa bwana wako nitolee ushamba wako hapa.Akili ninazo nyingi sihitaji kuprove kwako
 
Wazee wa tabata VIP?? Bado mmelala

Mbona siwaoni road twende tukatembeee sababasaba
 
Hata siku vichwa vya watu vinazibuliwa kama chupa za pepsi tulidanganywa hali ni shwari na hatukujulishwa kama ipo shida yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…