Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

Unaijua sheria ya Kristu? Ni sheria gani alituambia tuzitii
 
we unadhani hao waliopo madarakani ni wayahudi? sio hao wayahudi kamili wako kimya wakimsubiria mfalme wao aje kuwakomboa
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ wapo wapi?
 
Sasa wakiwamaliza hiyo biblia si itakuwa sawa na story ya shigongo, au bado hujaelewa??
 
[emoji23]Dah washkaji wahuni sana
Yani eneo walilopewa 1948 na walilonalo sai ni tofaut kabisa
 
Hilo limeandikwa kwenye Biblia sijatunga mimi

1 Petro 2:9 NEN

Lakini ninyi ni taifa teule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu walio milki ya Mungu, mlioitwa ili kutangaza sifa zake yeye aliyewaita kutoka gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu.

Maandiko nliyokupa yanaeleweka mengine ni kutaka kubishana tu..


Torati 7:7-9 yatuambia, β€œBWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sabau mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote; bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kuutimiza uapo wake aliowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawaatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri. Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kusika amri zake, hata vizazi elfu.”

Nshafunga mjadala
View attachment 1791902
 
waislaeli ni washenzi kama washenzi wengine hakuna cha uteule wala nini? ndiyo maana Hitler alikuwa anawaua baada ya kugundua tabia za ajabu ajabu za waislaeli. mijitu mibinafsi kama nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…