Shida ni kwamba Israel anachokoza af parestina anareact then akiingia ulingoni anapigwa ardhi inachukuliwa, na hivi ndivo ilivo, mfano familia kazaa zilifukuzwa east Jerusalem , wakachafukwa wanaandamana jioni wakaingia kufturu Al aqsa , Israel wakawafuata msikitin wakawapiga haswa.. na Israel target ni eneo la mskiti ajenge hekalu....Sasa subiri vugu vugu lipoe af utanipa report Kama israel hajafanikiwa kuichukua kale kakitongoji kote ambako mskiti upo ndan yake, na palestina kashakimbia pale, now Israel kashatimiza lengo na anapiga ili kujilinda na kujenga heshima....hebu fuatilia generalized comments za mataifa mbalimbali uone wanamdescribe israel Kama mkorofi na wanakemea