Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepelekesha bunge ovyo sana awamu hii ya 5.
Km mtu aliipata degree ya miaka mitatu kwa miaka nane unategemea utendaji gani!!?Aende zake akafie mbali. Hana legacy yeyote aliyeiacha zaidi ya UDHAIFU wa kiakili na kiuongozi. Hovyooo kabisa.
Ndugai ameacha Legacy ya kupigana majungu na umbea bungeni.Aende zake akafie mbali. Hana legacy yeyote aliyeiacha zaidi ya UDHAIFU wa kiakili na kiuongozi. Hovyooo kabisa.
Aligeuka kuwa katibu wa ccm bungeni au mweneziKm mtu aliipata degree ya miaka mitatu kwa miaka nane unategemea utendaji gani!!?
Kwanza amshukuru Mungu tu, ukilaza wake ungetupeleka shimo refu zaid ya hil
Masikini ni Ndugai na wewe, msioona mbali mnapalilia mitumbo tu kwa kodi zetuMaskini haishi kulalamika ..ndio.imeshakua ivyo hamuezi badili chochote achen kulala kama wamama wa vikoba
Tuombe uhaiasilimia 90 ya wadau wa if wamemponda spika,ila atarud tu mjengoni