Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

Historia fupi ya maisha ya Spika Ndugai aliyoitoa bungeni. Asema alikuwa na maisha ya shida na dhiki

June 15 , 2020
Dodoma, Tanzania



BAJETI kuu ya serikali kwa mwaka 2020 / 2021 imepigiwa kura Bungeni leo Juni15 na kupitishwa kwa kishindo baada ya kura za ndio kuwa nyingi (304) dhidi ya kura za hapana (64) ... Baada ya bajeti kuu kupita, waziri mkuu, Kassim Majaliwa, anahitimisha Bunge..

Mbali ya shughuli hiyo ya kupitisha bajeti pia Spika Job Ndugai alitoa historia ya maisha yake, elimu na kuwatambulisha mke wake Dr. Fatma na watoto wao watatu ambao alifika bungeni na kuketi sehemu rasmi ya umma na wageni wafikapo ktk ukumbi wa bunge. Nilitembea kilometa 80 kwa wiki, kwenda shule kilometa 8 huku umbali wa kurudi nyumbani kilometa 8 hivyo kwa siku ni jumla ya kilometa 16 zidisha kwa siku tano kwa wiki anasimulia Spika Job Ndugai....
Source : Global TV online


Source : millard ayo
 
Job alitoka mbali sana spika wetu alipambana kuitafuta elimu kwa nguvu yake yote huku maisha yakiwa magumu ,mbowe pamoja na kuwa na kila kitu nyumbani ila elimu ilimshinda akapata zero ,biashara zimemshinda na siasa pia.

He is professional failure
 
Back
Top Bottom