Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Njaa aliyolala nayo miaka hiyo ilitafuna akilli yake na sasa akili yake imejaa makamasi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hila, wacha wakakutane mtaaniAtakumbukwa kwa kumn'goa CAG Assad
Bora mbowe biashara zimemshinda kuliko magufuli ambaye hana hata genge la nyanya.Job alitoka mbali sana spika wetu alipambana kuitafuta elimu kwa nguvu yake yote huku maisha yakiwa magumu ,mbowe pamoja na kuwa na kila kitu nyumbani ila elimu ilimshinda akapata zero ,biashara zimemshinda na siasa pia .
He is professional failure
Zile B 29 zetu zilizotumika kiboya sanaOgopa mtu aliyeishi ICU miezi kadhaa, tena ICU nje ya nchi. Tayari ni mkazi wa dunia ingine. Ni 'mad' already and inferior.
Hahahaa... aiseee nimecheka sana.Bora mbowe biashara zimemshinda kuliko magufuli ambaye hana hata genge la nyanya.
Hujalala mtwa wangu bujibujiNdugai ana pepo la ufukara ndio maana ana chuki na wenye mafanikio kuliko yeye
Bunge la ovyoo kuwahi kutokea ktk historia ya nchi hiiLeo Job Ndugai spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania, anetoa ya moyoni na kuwaaga wabunge akiashiria kumalizika kwa bunge katika kipindi chake cha uongozi.
Kati ya mambo aliyoyaeleza ni:
1. Historia fupi ya maisha yake;
-alipozaliwa
-shule ya msingi aliyosoma
-hali halisi ya mazingira aliyokulia
-maisha yake ya chuo kwa ufupi nk
2. Mafanikio yake kwa kupewa sapoti na raisi
3. Familia yake na hali yake ya kiafya aliyopitia.
4. Mwisho akawaaga wabunge wenzake.
Ninakutakia mema huko uendako na ukavune sawa na kazi ya mikono, ulimi na matendo yako
AMEN
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia,sijapata neno linalom difine kwa kwelSpika wa hovyo zaidi tangu uhuru
Ndio maana Mwl Nyerere alijenga vyuo vya uongozi kama Kigamboni, Maiwa, n.k ili kuondoa ushamba vichwani mwa viongozi!!Viol,
Maskini wengi wana hasira!
Sioni hoja ya maana hapa..hii ni Afrika yenye mchanganyiko wa watu wenye hali nzuri wachache na wengi masikini?sasa maneno ya Ndugai kuibuka nayo jf si ni sawa na kukosa kazi tuJapo ndani ya masaa 24 yajayo mh Job Ndugai atakuwa siyo Spika tena lakini ametuaga akiwa ametutegulia kitendawili.
Tuliosoma zamani tunajua namna watoto wa maskini walivyojihisi unyonge mbele ya watoto wa maofisa wa serikali achilia mbali wafanyabiashara.
Kama Ndugai hadi anaingia Chuo alikuwa bado ni maskini basi yawezekana wakati akiwa sekondari hali yake ilikuwa mbaya zaidi.
Fikiria wakati huo ndio yuko shule moja na mtoto wa mmiliki wa Mbowe Hotels iliyopo jijini Dsm lazima alijisikia unyonge mara dufu.
Na yeye Freeman watoto wa matajiri hata wakifaulu walisoma shule za private Shaban Roberts Dsm au The Highlands kule Iringa siyo kwenda kujimwambafy kwenye shule za watoto wa wakulima.
Waswahili walisema aliye juu mngoje chini ndio hiyo sasa rungu la Job limesambaratisha Ufipa yote, kisa bifu za sekondari.
Nawatakia wabunge wote vunja jungu njema usiku wa leo.
Maendeleo hayana vyama!