Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.

Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.

IMG_20230501_121041.jpg
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
 
Yanga ni mwendo wa kuvunja rekodi tu!

Mwakani tunaingia Champions league Kibabe Makolo waanze kutafuta kitu kipya Cha kujifariji maana wamebaki na matusi tu mpira umewashinda! Wamekandwa na wanaume Wydad mji mzima kimyaaaa!
 
Aliesema Yanga wenye akili wawili alisema pia Shirikisho ni loosers yani kwakishwahili ni waliofeli..
 
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.

Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.

Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
Ngoja kwanza nitulie hapa...
1682881821347.png
 
Hakuna jipya hapo..... Simba ilishacheza fainali na stella abidjan mwaka 1993. na gormahia walichukua Kabisa..... yanga wengi ni mabwege hamna akili mnakurupuka sana... Hamburg takwimu za Mpira zipoje....
 
Back
Top Bottom