John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.