John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Kwani timu gani inashiriki champion legueMichuano mikubwa ni CHAMPIONS LEAGUE TU hizo nyingine ni ndondo cup.
Unaumia ukiwa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Michuano mikubwa ni CHAMPIONS LEAGUE TU hizo nyingine ni ndondo cup.
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
Ndio ndio maana simba wakashindwa kutoboaMichuano mikubwa ni CHAMPIONS LEAGUE TU hizo nyingine ni ndondo cup.
Ngoja kwanza nitulie hapa...Kwa mara ya kwanza tangu soka lianze kuchezwa nchini Tanzania, Club yenye makazi yake Jangwani, Dar es salaam imefikia hatua ya nusi fainali katika michuano mikubwa barani Afrika.Hii ni baada ya kuifurumisha miamba ya soka kutoka nchini Nigeria kwa magoli 2.
Ikumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.
Hongera kwa Young Africans SC
Hongera kwa viongozi wa soka Tanzania
Hongera watanzania wote kwa ujumla.
Karne ya ngapi mkuu??Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Una haraka gani andika vizuri basi kolo mbumbumbu fc, " kwakishwahili" ndio nini? Nyie mmekandwa na wanaume Wydad tulieni wananchi tunasogelea makombe!aliesema Yanga wenye akili wawili alisema pia Shirikisho ni loosers yani kwakishwahili ni waliofeli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utaaibika, Gor Mahia waliibeba kabisa ndoo, achana na nusu fainali. Ni vyema ungejiridhisha kabla ya kuanzisha uziIkumbukwe kuwa hakuna timu yoyote imeshawahi kufuzu hatua hii katika michuano hii nchini na Afrika mashariki kiujumla.Hakika hii ni hatua kubwa.