Historia imeandikwa. Yanga imekuwa timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati kutinga hatua ya Nusu Fainali CAF

Kombe alicheza Simba mwaka 1993 haikuwa kombe la shirikisho.

Hapo zamani kulikuwa na michuano miwili Africa cup of champions club ambayo kwasasa inaitwa CAF champions league na shindano la pili ilikuwa ni Africa cup winner's cup ambayo kwasasa ni CAF confederation cup. Lakini mwaka 1992 Caf wakaanzia mashindano mengine ambayo yalikuwa kwa timu ambazo hazifuzu mashindano ya CAF interclub championship ( klabu bingwa na shirikisho) na mashindano hayo yalidumu kwa miaka 12 tu (1992-2003)

Wakati Simba anacheza fainali ya CAF cup mwaka 1993 dhidi ya Stella club, timu ya Zamalek alikuwa ndio bingwa wa klabu bingwa mwaka huo 1993 huku Al Ahly akiwa ndio bingwa wa kombe la shirikisho mwaka 1993 na hivyo wakakutana kwenye CAF super cup na Zamalek kuwa bingwa wa jumla.

Kwahiyo CAF cup aliyocheza Simba sio sawasawa na kombe la shirikisho kwasasa.
 
Hakuna kombe la CAF wewe ,taja kombe uliopo, kama alivyo litaja Manara
 
Niambie, ni timu gani sasa kutoka Tz zilizocheza hayo mashindano sawia na Klabu bingwa Afrika pamoja na Shirikisho.
 
 
Wanathimbaa mnanifurahisha yani hapo mpo kuponda eti mashindano ya loosers wakati tungetolewa mngefurahi vibaya mno na tungekosa pakuweka nyuso zetu sie wanayanga ila kwa vile tumepiga hatua faraja yenu pekee ni kusema kuwa eti kombe lenyewe ni la loosers🤣🤣
 
[emoji837]CAF walikuwa na mashindano matatu CAF CUP,CAFCL na CAF CUP WINNERS[emoji3578]

[emoji837]CAFCL - iliwahusisha mabingwa wa ligi katika nchi husika[emoji3578]

1974 SIMBA SC alifika nusu fainal ya CAFCL /LIGI YA MABINGWA kwa sasa,mwanzoni iliitwa KLABU BINGWA AFRIKA [emoji3578]

[emoji837]CAF CUP - ilihusisha timu zote zilizoshika nafasi ya pili katika ligi za nchi husika.

1993 SIMBA SC ilifika fainali ya CAF CUP[emoji3578]

[emoji837]CAF CUP Winner's - ilihusisha timu zote zilizokuwa washindi wa kombe la FA la nchi husika.[emoji3578]

[emoji837]Kombe la shirikisho lilianzishwa baada ya kuvunjwa kwa makombe haya mawili CAF CUP na CAF winners na kuundwa muundo mpya unaotumika sasa.[emoji3578]


[emoji117]TUKUBALI TU KUWA SIMBA IMECHEZA HATUA ZA JUU ZAIDI YA MASHINDANO HAYA YA CAF KULIKO YANGA,USHABIKI USITUFUMBE MACHO NA KUTUTOA AKILI,TUWE HALISI.

HATUPO KWENYE KUBISHANA BALI KUELEWESHANA ILI TUSIPOTOSHE HISTORIA KWA VIZAZI VIJAVYO.[emoji3578]


NB: KAMA UMEAMUA KUKAZA FUVU HIZO NI SHIDA ZAKO,MIMI NISHAKUPA ELIMU KISTAARABU ITAKAYOKUSAIDIA WEWE NA WANAOKUFUATA[emoji3578]
 
Kwenye huo mtoano unailinagnisha vipi Al Hilal na Nyasa Big Bullet? Timu 2 ulizopangiwa nazo zilikuwa dhaifu mno hata Yanga angekutana nazo zingetoka mapema na pia kwenye hayo makundi ungewekwa kundi la Al Hilal, Mamelodi, Al Ahly usingefika robo, ndio maana ulipowekwa na kigogo mmoja tu Raja kakupiga ndani nje.
 
Sasa hapo huoni kuwa mfumo wa mashindano ndo ulio badilika ila mashindano ni yale yale?
 
Ungeshughulisha halmashauri ya kichwa chako.... Eti mashindano mamoja ... Kaandalie vigezo vya Kila shindano ...
Sasa hapo huoni kuwa mfumo wa mashindano ndo ulio badilika ila mashindano ni yale yale?
 
Hilo Kombe zamani lilijulikana kama Kombe la washindi barani Africa. Simba alicheza fainali na Stella Abdjan pale uwanja wa uhuru na huko Abdjan mwaka 2003. Hivyo hakuna jipya.
Uongo, huu ni Uongo bwana, kombe la shirikisho limeanzishwa 2004.. kombe alilocheza Simba ni CAF Cup ambayo ikaunganishwa na African cup, winners cup ndo ikapatikana CAF confederation cup mwaka 2004, siyo hajawahi kucheza semi ya confederation
 
Ungeshughulisha halmashauri ya kichwa chako.... Eti mashindano mamoja ... Kaandalie vigezo vya Kila shindano ...
Kwani kipindi hicho ili ushiriki mashindano ambayo simba alifika fainal ulitakiwa uwe na sifa gani? Tuanzie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…