Historia imedanganya na kupotosha asili ya mwanadamu

Vatican Archives Ikiwa ni Sehemu inayolindwa Zaidi Duniani, inaaminika kuna siri za Mwanzo wa Dunia na hata Uumbaji!
tukiachana na Hilo,
Miongoni mwa Dogma za Kanisa Katoliki Zinasema kwamba "Pamoja na Kuamini kuwa Tumeumbwa na Mungu ila Nadharia za Evolution haziwezi kupuuzwa"
 
umepata kufuatilia Babylonian brotherhood chimbuko lake..??
...jamaa wameamua na kukakamaza shingo kwa kuamini kilichoko kwenye biblia na quaran tu kuhusu asili ya binadamu,_hawajishughulishi kabisa na elimu nje ya vitabu hivyo...so bad
 
...jamaa wameamua na kukakamaza shingo kwa kuamini kilichoko kwenye biblia na quaran tu kuhusu asili ya binadamu,_hawajishughulishi kabisa na elimu nje ya vitabu hivyo...so bad
hatare sana...wanajikita zaidi na vitabu vilivyopewa majina yanayong'aa ( misahafu)..

They dont want to dig outside ( dogma)...free your mind the universe will show you where you originated kwa kufuata mtiririko wa wa system ilivyo..

Kila siku nawambia watu bible na quran ni man made books to hide the truth na kumfanya mwanadamu asijue ukweli wa mambo ,.

Ndo mana mpaka leo watu wanatembea njiani na bible( Quran) lakini haawaielewi..

The way ilivyojazwa maneno ndo mana inaonekana ni complicated kuelewa kwa watu wanaoiamini zaidi..

Kitabu kimoja kinakuwa kigumu kukuelewa kuliko mtaala mzima wa elimu za Engeneering na medicine zenye miaka 4 mpka 5 ila bible ambayo ujazo wake unalingana na kitabu kimoja tena cha Anatomy and physiology cha medicine mwaka wa kwanza..

Sijui kwanini watu walifikilii hili...

napata uchungu mkubwa sana kumuona mtu akija na reference za bible kama source ya kumpa ukweli...

Hivi nani alikuambia the truth is exposed openly kiasi hicho ..??

very sad..

surviving is the process ...

maisha hayapo raisi kama wanavyofikilia...
 
...nimekuelewa sana mkuu,ila ndio hivyo tena waafrica ndio wahanga wakubwa wa huu utumbo wa biblia na Quran
....hata mimi ni muumini wa mojawapo wa hizo dini mbili za kuletwa,_ila sio mjinga
 
kwa asilimia kubwa mfumo wa elimu karibia wote na vitabu vya dini ni upotoshaji, kwenye elimu ya sayansi, dini na historia kuna machumvi mengi sana kuhusu binadamu na nature yake,
huu upotoshaji sio kwa waafrika tu hata wazungu nao wanaongopewa sana, sababu elimu ya sayansi na historia iyosomwa uko ndo hiyohiyo tunayosoma na sisi
waafrika sisi tunajua wazungu ndio wanatupotosha lakini ukweli ni kwamba mzungu nae anatekeleza order tu kutoka kwa VIUMBE au niseme ni beings gani sijui ndio inatoa menuscript mzungu anafanya kuiwakilisha kwa binadamu wengine
VIUMBE nyuma ya pazia ndio wanapotosha dunia nzima kwa ujumla dizaini kama wanataka kuiteka hivi dunia yetu!
malengo ya VIUMBE hawa asilia 80 ya binadamu wote hatuijui, lakini tuendelee kuhoji hivi hivi mpaka dots zikamilike.
 
ubavu! upo OP mkuu
 
Hii dhana kuhusu asili ya binadamu katika ulimwengu wa kielimu haipo tena. Dhana hii ni dhaifu kuliko nyumba ya bui bui,kama ulivyo onyesha hapo juu.

Tunatakiwa turudi na kujiuliza "Kwanini tumefikishwa hapa au kwanini tulifikishwa hapa ?"

Jibu ni rahisi sana,nalo ni "ELIMU". Hapa lazima uulize Elimu gani ?

Siku kadhaa nyuma niliweka takribani mada tatu zenye kufatana bali kwa jicho la kielimu zinategemeana.

Mada nilizipa kichwa kifuatacho :

MAAJABU YA ELIMU : Elimu ya kuhakiki habari.

Nyingine nikaipa kichwa :

MAAJABU YA ELIMU : Ni ipi misingi ya kujifunza elimu/fani yoyote ?

Nyingine nikaipa kichwa :

MAAJABU YA ELIMU : Elimu ya nasaba.

Nikamaliza na dokezo la mada nyingine iliyo enda kwa jina :

Ni zipi sifa za Great Thinker.

Kaka tulinyimwa elimu hasa ya uhakiki wa habari. Hapa ndipo kuna matatizo hatujui ni wapi tuchukue habari na ni wapi tuchukue elimu.

Kaka umetukumbusha jambo la msingi sana,hasa kuonyesha umuhimu wa elimu na watu wake.

Nakuja.......!
 
Ukitaka umnyime mtu elimu,basi usimpe misingi ya elimu husika.

Hapa nina swali kwa wote.

Je ni ipi misingi ya elimu ya Historia ?
 
...dhana yenye mashiko kidogo ni ile ya kuumbwa na Alliens,..Ananuk....ila hii ya kwenye biblia na Quran haina mashiko hata robo nayo
Kwanza nakukosoa bro,uumbaji hauna dhana. Pili naomba unipe udhaifu wa hayo una dhani ni madhaifu.
 
Asante mkuu nakusubiri kwa hamu urejee
 
Asante mkuu nakusubiri kwa hamu urejee
Kuna nimeuliza hivi punde.

Je kuna mtu anajua misingi ya elimu ya historia kwa hakika yake ?

Ukiona hujui misingi ya elimu uliyojifunza mathalani na ukajiona unaijua elimu hiyo,nakwambia hivi "Umekosa sehemu kubwa sana ya elimu hiyo".
 
Kuna nimeuliza hivi punde.

Je kuna mtu anajua misingi ya elimu ya historia kwa hakika yake ?

Ukiona hujui misingi ya elimu uliyojifunza mathalani na ukajiona unaijua elimu hiyo,nakwambia hivi "Umekosa sehemu kubwa sana ya elimu hiyo".
Umenifikirisha..! Kuna elimu mbili
. Elimu ya kiada... Hii ya kuletewa toka ughaibuni, ina mipaka mingi
. Elimu ya ziada... Hii haina mipaka na inapatikana popote... Vast knowledge yet bounderless
 
Leo nataka niende kwa mtindo wa kurudi nyuma nyuma kidogo. Ili nisiwachose.

Nataka niwaonyeshe umuhimu wa misingi katika kila jambo.

Madhalani leo nyumba haiwezi kuitwa bora kama haikujengwa au kama haikusimama juu ya misingi imara na madhubuti.

Msingi husemwa ni asili,kwa maana ya kilugha ni kila jambo ambalo juu yake au baada yake huzalikana au husimama mengineyo.

Kuna misingi kumi unayotakiwa kuijua kabla au unapotaka kujifunza elimu yoyote na ukifanikiwa kuidiriki misingi hiyo kwa ukamilifu,hakika hali wa shani utakuwa umepata kheri kubwa sana katika elimu husika yaani utakuwa umeibeba elimu hiyo kwa ukamilifu wake.


Nakuja.....
 
Umenifikirisha..! Kuna elimu mbili
. Elimu ya kiada... Hii ya kuletewa toka ughaibuni, ina mipaka mingi
. Elimu ya ziada... Hii haina mipaka na inapatikana popote... Vast knowledge yet bounderless
Kwa ufupi kila elimu ina mipaka,na mipaka ya elimu husika ni yale yote yasiyohusiana na elimu hiyo.

Na mipaka ya kila elimu ni hii misingi kumi,na kuna baadhi ya wanachuoni wanasema 8 yaani miwili iliyozidi inaingia katika msingi mmoja au kama walivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…