matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege.
Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana lilikuwemo kwenye list ya watu waliosafiri. Hii ilikuwa ni ajali ya ndege iliyotokea Congo mwaka 2019.
Taarifa zikavuma kuwa na jina lake lilikuwa ni miongoni mwa wasafuri wa ndege hiyo. Baada ya siku tatu, Prigozhin mwenyewe alijitokeza akiwa hai na ikaonekana alifake kifo chake.
Yawezekana mengi yamefichwa ukiona hadi US wanasita kuamini basi turudi kujifunza kwa warusi jinsi wanavyoendesha mambo yao kijasusi na mengi huwa yanaishia hivihivi kwenye sintofahamu.
Ni hayo tu wadau.