Historia inaonyesha Prigozhin hii ni mara ya pili kufa kwa ajali ya ndege

Historia inaonyesha Prigozhin hii ni mara ya pili kufa kwa ajali ya ndege

Labda Kama mu wageni wa michezo ya putin.
Anakufaje kizembe yule.
Wale Wana passport Zaid ya kumi kwa majina tofaut plus ma plastic surgery plus taarifa zao Huwa Sio wazi anaweza aka book kesho akasafiri kesho.
 
Rais Putin ameshathibitisha kifo chake Prighozin na wenzake kwa ajali ya ndege na katoa salamu za rambirambi kwa familia zao
Putin huyo huyo wakat wa Yale mapinduzi feki alijitokeza hadharani na kulaan hayo mapinduzi ili Hali akijua ni mpango maalum, kiufupi jamaa hajafa na ndio maana hata vyombo vya magharibi wameamua kuipotezea hii habar wanaona wanachezewa akili.
 
Labda Kama mu wageni wa michezo ya putin.
Anakufaje kizembe yule.
Wale Wana passport Zaid ya kumi kwa majina tofaut plus ma plastic surgery plus taarifa zao Huwa Sio wazi anaweza aka book kesho akasafiri kesho.
Hiii inawezekana Kuna eneo ameenda kwashughuli maalum Ili kuwaghiribu watu wa nato
 
Rais Putin ameshathibitisha kifo chake Prighozin na wenzake kwa ajali ya ndege na katoa salamu za rambirambi kwa familia zao
Hakika. Nawashangaa sana wanaolazimisha tuamini jamaa hajafa. Putin asingeweza kuongea vile. Kupongeza kazi ya wagner na wakati huo pia kumlaumu jamaa kwamba "ALIFANYA MAKOSA MAKUBWA" Putin asingethubutu kusema jamaa alifanya makosa makubwa kama asingekuwa na uhakika na kifo chake. Tumbuke putin ndiye mwenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
 
Ndege ilio anguka namba za mkia na kwenye blade pale namba tofauti, halafu juzi ndege zake mbili ziliruka wakati mmoja na muelekeo mmoja lakini moja imeanguka na moja imetua Moscow.
Una maana gani namba za mkia na kwenye blade namba zulikuwa tofauti!! Blade gani, kwani ilikuwa propeller driven plane??
 
Back
Top Bottom