Historia inaonyesha Prigozhin hii ni mara ya pili kufa kwa ajali ya ndege

Wewe @matunduzi kwa maelezo yako hapo ni kwamba prigozhin alijua kwamba kutatokea ajali ya ndege. Akaenda kujiandikisha kama msafiri kwenye ndege inayotarajiwa kuanguka. Afu asisafiri.
 
Hapana Mrembo Joannah siyo lazima mpaka niione maiti yake..........habari za kufariki kwake zimetoka chanzo cha kuaminika (Rais Putin).
NIMESIKITIKA SANA....alifurahisha sana siku Ile alivyokuwa anaelekea Kremlin.....apumzike Kwa amani
 
Putin hajaribiwi hata kiutani. Keshamtaja Prigozhin kwa nyakati zilizopita (he was…, he did …). “Alikuwa jasiri…, alifanya makosa mengi …, alifanikisha mengi ….”

Kifupi, Prigozhin is dead and incinerated. Matokeo ya DNA ndio yanasubiriwa kukamilisha taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…