miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Ndiyo hivyo wanajifunza kutuelewa pole poleHahaaa..kama kuna ukweli flani hivi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyo wanajifunza kutuelewa pole poleHahaaa..kama kuna ukweli flani hivi!!
mwambie home kwanzaaaaah wapi hela imetengwa kitambo
Utaendaje?wakuloge?pia mazingira mabayaMakabila mengine huwa ni kwa nini hawana utaratibu wa kwenda kwao dec...?
dah kweli maae nikikumbuka mkesha wa krismas ile mbege tamu aina ya mmbira ndo umechanganywa kwa ajili ya kesho sikukuu dah we wacha kabisasiwezi kuwa mchoyo nisheherekee mjini huku kila kitu kipo juu bora kule kijijini mbege ipo ndizi nakata mbuzi yupo maisha yanaenda
chaa hajui raha ya nyumbani nini home sweet homiemwambie home kwanzaa
kufuwe ndiyo yenyewe kama juisi vile... acha tu msesewe ndiyo naujua hiyo mbira siijuidah kweli maae nikikumbuka mkesha wa krismas ile mbege tamu aina ya mmbira ndo umechanganywa kwa ajili ya kesho sikukuu dah we wacha kabisa
Bado shamra za kukutana ndugu na jamaa mliopotezana mda ni furaha ilioje
Itachukua mda sana nnavyoona asee...Ndiyo hivyo wanajifunza kutuelewa pole pole
hapana wataelewa tuItachukua mda sana nnavyoona asee...
Hahaaa...kuna jamaa yangu mmoja wa pande flani hataki kabisa kusikia habari za kwenda kwao, nlivyomuuliza alinieleza huko kwao kuna ushirikina sana, wakiona mtu katoka town kachomekea shati basi town arudi tena, ni kifo au crazy!Utaendaje?wakuloge?pia mazingira mabaya
Mmh hii hapana makabila mengine hawasubir msimu wa xmass wanaenda mwenzi wowotekwao kubaya, wanalogana .. ha hahaha
Tunaenda kama kawaida...Hizo zilikuwa Enzi zile Sasa hivi hawathubutu kwenda moshi mambo imebana
hatareee hatareee najiona kama nshafika home sweet homechaa hajui raha ya nyumbani nini home sweet homie
Migombani trip na hivi barabara za lami ni mpaka huko migombani agrrr hata ukiwa na kipasso chako unapanda
haa haa we acha tuu natamanije ifike hio siku.hatareee hatareee najiona kama nshafika home sweet home