Wachagaa kabila la mama yangu,,,hatari sana gawa watu nawakubali mpaka naumwa,,wakiamua wameamua,,sio waoga waoga wa kujaribu,,wanajua ku take risk ndio maana wanafanikiwa,,, wajanja wa kujenga nyumban kwanza kabla ya ugenini.
Kumwacha mke miaka miwili home yy kwenda kutafuta sio ishu kubwa kwao japo makabila mengine yameshindwa hii.
Moja ya makabila mzaz haswa wa kichaga lazima akae kwenye uzaz miezi mitatu anakula tu machalari na mitori
[emoji23] na mapochopocho
Nikabila ambalo wana wivu sana wa maendeleo hasa jiran anapojenga nyumba bas lazma nae afanye juhud ajenge zaidi yake
Mchaga Ukimaliza darasa la saba sawa na form 4 iringa na Mbeya. Ukimaliza form ni sawa na umalize chuo pale Mtwara, Ukimaliza form 6 ni sawa na kumaliza chuo kikuu Dar Ukipata degree ni sawa na mastars pale kenya
Ukipata masters mchaga ni sawa na phd Burundi... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabila hatari sana ambalo kwao mapenzi sio kipaumbele, ila hela ndio kipaumbele chao cha kwanza...
Mzazi kumwambia mwanae,iba nyang'anya,chinja,loga unavyoweza upate hela ukikamatwa nitauza ng'ombe nikupiganie
Lakini ukimpa mwanafunzi mimba nakuja mahakamani kumuhongahakimu akufunge maisha[emoji15] [emoji15]
Chezea sana makabila mengine ila sio mchaga,,,ndio kibila pekee linalotolewa mfano wa maendeleo nanmakabila yte nchini.
Kutoka Dar kwenda kwao ndio njia yenye mabasi ya ukweli kuliko njia zote Tanzania. Ndio njia yenye hotel nzur barabarani kuliko njia zote Tanzania.
Wachaga wameona barabara za lami na umeme toka zaman kabla ya mikoa mingi na mwisho imasemekana ndio mkoa uliokua unaongoza kwa shule nyingi za sekondari Tanzania(sijui kwa sasa)
Mimi naukubali sana uchagani coz nina damu ya pale we ukiuchukia kunywa supu ya mawe na pilipili ya miba