Historia moja imebaki intact; hakuna Rais aliyefanikiwa kurithisha kiti cha Urais kwa amtakaye

Kiongozi unahisi kuna nini behind the pazia?
 
Magufuli alikuwa anaondoka kwa kifo pekee. Wala asingeachia kijiti. Alitamka mwenyewe,akiondoka nani atamalizia bwawa la umeme,nani atanunua Ndege ?
 
Kiukweli aliyekuwa mkuu wetu aliponzwa na misaidizi yake, mijitu isiyokuwa na adabu kama vile lile lenye mimacho mikubwa na lile la kanda ya ziwa lililokuwa likikata miyenu pale yalipomuita yeye Mungu. Na kumbukeni, Mungu ni Mungu mwenye wivu. Utukufu wake hauko shared na yeyote!
 
Umesahahu manunguniko ya Kikwetwe wakati wa mazishi ya Hayati Mkapa. Alipopewa mic akasema utawala wa mkapa haukuwa kama huu. Tulishindanishwa wote na Mkapa lakini baada ya Mkapa kushinda bado akampa uwaziri lakni kwa utawala huu hauko hivyo. Ninafikiri alikuwa akimsemea Membe rafiki yake alivyotupwa nje ya system.
 
@mama D, yaani unataka kusema kuwa hata serikali ya Nduli Idi Amini Dada ilitoka kwa Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…