Historia moja imebaki intact; hakuna Rais aliyefanikiwa kurithisha kiti cha Urais kwa amtakaye

JK gani? Huyu huyu aliyemwambia lowassa akimaliza kipindi chake anamwachia urais?
 
Hotuba ilikuwa well calculated
 
Muwe mnafatilia hotuba za viongozi alafu msiwe wazembe wakuzitunza ukishindwa kuhifadhi mahali jitahidi maneno muhimu jk namnukuu mnasema mm niregerege mnataka rais mkali haya jiandaeni mtampata huyo rais mkali kabla hata mchakato wakura zamaoni bado ulitaka mudahuo akwambie namleta magu kwenu ulikuwa naimani kuwa magu angeweza kumshinda edo akili yakuambiwa changanya nazako
 
Samia ajifunze hapo
 
Magu alishachaguliwa na system kumrithi JK miaka miwili kabla ya JK kustaafu.

Utafiti wa ndani wa TISS ulishaonyesha kuwa wananchi wanamkubali Magufuli kumrithi JK
Magu alikuwa bonge moja la chawa. Alikuwa anamsifu mnoooo Kikwete.

Alikuwa vizuri sana kwenye usimamizi, kosa walilolifanya ni kumpa mamlaka ya maamuzi. Hapo tu.

Magu alipaswa kusimamiwa.
 
Hivi unamjua kikwete kweli? Kikwete ni mtu wa mwanadiplomasia,unafikiri angesema alikuwa anamtaka Membe pale kwenye msiba?
Jifunze kutafti,maneno ya kijiweni yatakupotosha,kikwete alimtaka magu baada baada tu ya kuvunjika kwa ndoa yao rasimi na lowassa,kumbuke hotuba ya siku ya wafanyakzi RUVUMA,na baada ya akina membe na kundi lake kupigwa bani ya miezi 12 na ccm ya kutokujihusisha na maswala ya kisiasa
 
Ni uwongo wa waziwazi kuwa kikwete alimtaja membe,amwjibu tuhuma hizo kwa kueleza ukweli kuwa yeye alimtaka magu
 
Jk Ni true politician. Very smart..
 
PIA ANCESTORS wanasema MAMA atatawala miaka minne na nusu tu iliyobaki ,baada ya hapo waliopo wataondolewa madarakani kwa njia ya kura,jambo ambalo litakuwa ni la kusitukiza na hawatakuja amini kamwe,wataamka na kuikuta nchi ikishangilia kuanguka kwao, na hata hao masulia walio ndani ya malango yao nao wakishangilia pamoja na wana wa nchi kwa anguko lao. nao watauliza sio nyinyi mlio kuwa mnakula na kunywa nasi siku zote? nao watajibu ni sisi ambao ghadhabu yetu tuliigeuza furaha machoni penu hadi siku ya utimilivu.
wanao dhani kuwa watatawala milele huo ndio utimilivu wa ahadi ya asie pangiwa.
 
Hili tulisema toka mwanzo hata Samia hawezi kuwa na mrithi anayemtaka yeye.
 
Halaf Kikwete alivyokuwa mjanja alitaka kuwaambia sio kweli barabara za kuunganisha mikoa zilijengwa kipindi cha Magu.. akasema yeye ndo aliacha legacy ya kujenga barabara zote za kuunganisha mikoa,kasoro ya Kigoma na Katavi. Kazi kwa wale Walikuwa wanaita Magu ndo kajenga barabara zote za nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…