Gwappo Mwakatobe
R I P
- Nov 22, 2019
- 1,796
- 2,345
Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.
Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.
Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.
Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.
Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.
Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
Kikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!
Kikwete alimpanga anko Magu na alitamka mapema kuwa ndiye Rais anaefata baada ya yeye.
Safari hii Mungu kaona asimame kati yetu
Asante Mola kwa kusikia maombi yetu
Aiseee !!Jiwe hakuwa na plan za kuondoka ikulu.
Kiongozi ina elekea hukumuelewa mzee Kikwete kwenye hotuba yake ya kuaga na kumzika hayati Dr. Magufuli.Katika historia ya Tz, jambo moja limekuwa linatokea mara kwa mara.
Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kumuweka anaemtaka anapoondoka.
Wengi walihisi Magufuli atatuwekea mtu wake akimaliza mda wake but haikutokea.
Nyerere alimtaka Salim, akatokea Mwinyi.
Mwinyi akamtaka Malecela, akaibuka Mkapa.
Mkapa akamtaka Kigoda, akashindwa na mtandao wa Kikwete.
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Magufuli hatujui alikuwa na nani kampanga kichwani mwake Ila now tuna Samia.
Nna uhakika hata chaguo la Samia halitapita; ataibuka mwingine dakika za mwisho.
Hii ndo Tanzania. Ukipanga hivi the 'ancestors' wanapangua.
😀😀😀😀Kama angekuwa hai Hadi 2025 Magu angefanikiwa, angeenda na jina moja tu na hakuna ambaye angempinga.
Hayati Magufuli alishawahi kusema, Mzee kikwete alikata majina ya Rafiki zake na kunichagua Mimi so Mkuu jitulize kidogo.We ndo akili huna..
Unamuamini JK na anachosema?
JK huyu huyu aliekuwa rafiki wa Lowassa?
Unamjua JK unamsikia?
Hii ngoma ilishakula kwetu kama siyo Sir God kuingilia kati basi mziki huu tungekesha nao mpaka kucheleMungu akamuondoa kwa nguvu asije kutusumbua..alishapanga na kina Ndugai wamuongezee muda..mchezo ukamalizwa mapemaa!
Kikwete akamtaka Membe, akaibuka Magufuli.
Huyu anaamini kweli Magufuli alikufa tarehe 17 kama ilivyotangazwa....
Hivi unamjua kikwete kweli? Kikwete ni mtu wa mwanadiplomasia,unafikiri angesema alikuwa anamtaka Membe pale kwenye msiba?
JK hata ukimwangalia Hana huzuni na kifo cha JPM ,maneno na matendo yake hayana uwiano.
Kikwete akili nyingi mno,alikuwa anacheza na akili za wajinga tu.Kikwete alimpanga anko Magu na alitamka mapema kuwa ndiye Rais anaefata baada ya yeye.
ume define maisha ya watanzania wote.Unataka nikuamini wewe?
Tatizo mnapenda kuishi kwa ubuyu. Siku mkipewa ukweli mnabaki kwenye denial.
Mbona hakuwahi kuongea hivo enzi Rais Magufuli akiwa hai?Punguza kuishi kwa maneno ya umbeya wa mitaani. JK kwa kinywa chake kaeleza namna JPM aliingia kugombea CCM.
Baeleze baelezeKikwete amesema jana kuwa yeye alimtaka Magufuli akamuweka namba moja.
Bwashee mbona una kichwa kigumu wewe?!
Huwa naamini JK ni great statesman kwa kipindi cha kizazi hiki baada ya Saalim na Mahiga. Na angekuwa anaandika( articles ) JK angetambulika sanaNaomba kama Una link na hiko alichosema Mugabe unitumie..
JK alikuwa Mwenyekiti wa AU wakati Bush anataka kumlazimisha Mugabe ajiuzulu..
Nna uhakika JK alikuwa anawafanyia usanii kina Bush tukapata misadaa mingi kuliko nchi yoyote Africa..
JK katika hapo Kwa Sanaa na hadaa..za kisiasa.. anaweza kutabasam Kwa mtu nyoka kabisa