Wala hayupo nje ya nchi, yupo kwake Maramba mawili.Oooops; Wamesema eti yupo nje ya nchi
Mwigulu na Bashite walinunua majina.Elimu ya mwigulu ya kuungaunga,unamjua huyo jamaa vizuri darasani?..bashite alipata degree yake ushirika Moshi, Samia masters yake alifanya university of Manchester, UK..wewe una elimu gani?
Alinunua jina baada ya kifeli la sabaMwiguiu hana Elimu ya kuunga unga Mkuu
Hapo itakua alinunua cheti tu.Inakuaje CDF anasoma chuo kikuu cha mashaka na kilichofungiwa na TCU? Hili jambo likija mahakamani itakuwa mbaya sana.
Lipo maramba huko linalewa tuYuko Nje ya Nchi Kikazi
Amesomea nini huyo dogo?Some people are very luck, Kuna dogo mmoja wenzake wanamuitaga KITIVO a.k.a Professor
Ukitizama elimu yake imenyooka ila now yupo mtaani ni BODA BODA inasikitisha sana
Ukisoma cvs za BAADHI ya wakuu wa vyombo na viongozi wetu wa nafasi za juuu kimaamuzi
Tumepigwa big time
Ni bora thread ya kujua kwanini Asome chuo magumashi ianzishwe....Inakuaje CDF anasoma chuo kikuu cha mashaka na kilichofungiwa na TCU? Hili jambo likija mahakamani itakuwa mbaya sana.
BaEdAmesomea nini huyo dogo?
Ndiyo kuanzia Meja General Elimu yao inakua kidato cha sita, wao wanasema Mkuu wa Majeshi akiwa Msomi anakua halijui Jeshi Vizuri kwasababu anakua hajaanzia chini, Ukiona Mwanajeshi yupo kwenye Siasa na cheo chake labda Kanali mfano Kinana, Kikwete awa hawa kuanza Mafunzo ya awali ya kijeshi, Waliingia Jeshi kupitia CCM wakaenda Monduli moja kwa moja, CCM wanamfumo wao wa kupeleka Vijana wa Somi wa chuo kikuu kutokea UVCCM, Nyerere alianzisha huu mfumo upo hadi kesho, Hata kule Zanzibar CCM wana vikosi vyao Vinaitwa JKU, KVZ, ajira zao zinatangazwa kwenye Ofisi za CCM na vijana wanao pata Ajira ni Vijana wa CCM, kwahiyo mifumo ya Jeshi inatakiwa ibadilike, Tatizo la CCM ina miliki mpaka vyama vya Upinzni. Ndani ya vyama mfano ndani ya Chadema kuna wana Ccm kwenye Kamati kuu, lakini ndani ya CCM hakuna Chadema, Chadema wanatakiwa wapambane na CCM kwa akili na siyo maneno bila mipango, Chadema na wao wanatakiwa kuwapeleka Vijana wao Majeshini wakapate Ajira kama wanavyofanya CCM sasa wao wanatumia njia ya kupiga kelele haita wasaidia kupusho CCM itokea kwenye njia angalau nusu.Hawataki watu wenye akili kwenye hivyo vyeo vya juu?
InawezekanaSo CDF alisoma chuo feki?
Atapigwa dodoso hadi atasema alipokuwa. Afande CDF upo chini ya kiapo, hebu iambie mahakama kama ulisafiri.Mahakamani anakuja? Au ame amesafiri
Hii ngumu sana kutoboa anatakiwa aende Veta tu kutafuta fani nyingine yenye kuleta ubunifuBaEd
Naomba kuuliza ili nikujibu. Balozi aliyepotea ni nani?Hujajibu maswali hapo, balozi amepotea miezi 11 akiwa nyumbani kwake je yuko wapi?
Baada ya October 29 tuliambiwa na jaji Chande watu 700 walipotea hadi leo hawajulikani walipo?
Leo tunavyoongea kuna balozi tangu August 25 yuko mateka utasemaje kuna amani ?
Hao wananchi walio salama ni wale walioamua kuwa chawa na mazuzu kukubali kuburuzwa wanaopinga wanapotezwa na kukimbia nchi.
Maswali ya dodoso mkuu unajua yanakua yameandikwa tayari?Atapigwa dodoso hadi atasema alipokuwa. Afande CDF upo chini ya kiapo, hebu iambie mahakama kama uulisafiri.
CDF: Kimya
Lissu: Tusipotezeane muda. Ulienda Mxhi gani na umerudi lini? Ulipitia uwanja gani wakati wa kuondoka na kurudi. Ulitumia ndege ya shirika gani
CDF: SIjui.
π€£π€£π€£π€£
Hapana, ninachaka useme hapa, je wewe umeuwawa na umetekwa ndiyo umepata nafasi ya kuongea hapa? Adbuction ni crimes or offence ila kuwepo kwa hayo matukio ayajaifanya nchi yetu kua hamna usalama.Una uhakika wananchi wako salama?? Au hao wanatekwa na kuuliwa mchana kweupe kwenu nyie ni wanyama?? Au mpaka ifike zamu yako ndugu??
Naomba kuuliza ili nikujibu. Balozi aliyepotea ni nani?
Inasaidia nini? Siku akifa plz tusisomewe wasifu, na hii haisaidii kikubwa afike mahakamani, period!Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya Sekondari Mavu mwaka 1986 hadi 1989 na Shule ya Sekondari Ndanda mwaka 1990 hadi 1992.
Baada ya kumaliza Elimu yake ya Sekondari Alijiunga na Elimu ya chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mwaka 2014 hadi 2017 na kutunukiwa shahada ya sanaa katika Utawala wa Umma na Usimamizi wa Rasilimali Watu.
Jenerali Jacob John Mkunda alijiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa "JKT" kwa mujibu wa sheria mwaka 1992 na ulijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania "JWTZ " Tarehe 1 Aprili mwaka 1993. Pia alihudhuria mafunzo ya Afisa Mwanafunzi na kutunukiwa kamisheni katika Chuo cha Monduli tarehe 25 Juni mwaka 1994.
Katika utumishi wake Jeshi Jenerali Jacob John Mkunda, Alipata nafasi ya kuhuduria mafunzo mbalimbali ndani na nje ya nchi ikiwemo:
Afisa Mwanafunzi Tanzania (1994), Kozi ya awali ya maafisa wa mzinga (1995), Gun Position Officers Course katika Shule ya Mzinga Tanzania (1998), Kozi ya utawala wa kikosi, Shule ya Mafunzo ya Huduma Pangani (2001), Field Artillery Company Commander nchini Marekani (2002), Regimental Survey Officers Course Tanzania (2003), Kozi ya Waangalizi wa Amani wa Umoja wa Mataifa Tanzania (2007), Kozi ya Makamanda na Unadhimu nchini Uganda (2008), Artillery Battalion Commander Course nchini Bangladesh (2010), Kozi ya Ulinzi wa Taifa nchini India (2016)
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake Jeshini umepandishwa vyeo mbalimbali kama ifuatavyo:
1. Luteni: Tarehe 5 - Oktoba 1995
2. Kapteni: Tarehe 21 - Januari 2001
3. Meja: Tarehe 3 - Novemba 2006
4. Luteni Kanali: Tarehe 19 - Machi 2010
5. Kanali: Tarehe 17 - Januari 2015
6. Brigedia Jenerali: Tarehe 30- Juni 2016
7. Meja Jenerali: Tarehe 2 - Julai 2020
8. Jenerali: Tarehe 29 - Juni 2022
Kutokana na kisomo chake Jenerali Jacob John Mkunda aliweza kushika Madaraka mbalimbali katika Jeshi letu la Ulinzi "JWTZ" ikiwemo:
1. Platoon Commander, Shule ya Mzinga (1993β2000)
2.Afisa Tawa 451 Regiment (2001β2006)
3. Battery Commander 451 Regiment (2006)
4. Mkufunzi, Shule ya Mzinga (2007β2009)
5. Kaimu Kamanda 977 Regiment (2009β2011)
6. Kamanda Kikosi 977 Regiment (2011β2018)
7. Kaimu Kamanda Brigedi 202 (2018β2020)
8. Kamanda Jeshi la Nchi Kavu (2020β2021)
9. Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Utendaji Kivita, Makao Makuu ya Jeshi (2021β2022)
10. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania kuanzia tarehe 30 Juni 2022, Madaraka uliyonayo hadi sasa.
Jenerali Jacob John Mkunda Katika utumishi wake jeshini, Rais na Amiri Jeshi Mkuu alikutunuku nishani mbalimbali kama zifuatazo:
1. Nishani ya Miaka 40 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
2. Nishani ya Operesheni Demokrasia Comoro.
3. Nishani ya Miaka 50 ya Uhuru.
4. Nishani ya Miaka 50 ya Muungano.
5. Nishani ya Miaka 50 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.
6. Nishani ya Miaka 60 ya Uhuru.
7. Nishani ya Utumishi Mrefu.
8. Nishani ya Utumishi Uliotukuka.
9. Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Nne.
Huyu ndio CDF wetu Jenerali Jacob John Mkunda..!!!
HahahahahahahAtapigwa dodoso hadi atasema alipokuwa. Afande CDF upo chini ya kiapo, hebu iambie mahakama kama uulisafiri.
CDF: Kimya
Lissu: Tusipotezeane muda. Ulienda Mxhi gani na umerudi lini? Ulipitia uwanja gani wakati wa kuondoka na kurudi. Ulitumia ndege ya shirika gani
CDF: SIjui.
π€£π€£π€£π€£