Kijana wa Ifoza
JF-Expert Member
- Oct 31, 2025
- 1,180
- 2,302
Hapo kwenye machawa ungemtaja akiwemo na yeye mwenyeweHujajibu maswali hapo, balozi amepotea miezi 11 akiwa nyumbani kwake je yuko wapi?
Baada ya October 29 tuliambiwa na jaji Chande watu 700 walipotea hadi leo hawajulikani walipo?
Leo tunavyoongea kuna balozi tangu August 25 yuko mateka utasemaje kuna amani ?
Hao wananchi walio salama ni wale walioamua kuwa chawa na mazuzu kukubali kuburuzwa wanaopinga wanapotezwa na kukimbia nchi.
Pole Pole alikua balozi nchi Cuba akajiuzuru hiyo nafasi ya uwakilishi. Je,alirudi kwa mwajiri wake kumpa taarifa rasmi? Je,alilipoti na kufanya makabidhiano na wizara husika? KARIBUPolepole yuko wapi kama hajapotea?
Pole Pole alikua balozi nchi Cuba akajiuzuru hiyo nafasi ya uwakilishi. Je,alirudi kwa mwajiri wake kumpa taarifa rasmi? Je,alilipoti na kufanya makabidhiano na wizara husika? KARIBU
Sasa unalinganisha elimu enzi ya mkoloni na enzi za Tanzania huru??Baba wa taifa alianza na miaka 12
Mfumo hauhusiani na umri wa kuanza shule,tulioanza shule 1980s tukiwa la pili tu kuna watu walibalehe na kuvunja ungo,la saba huko ndiyo akina mama kabisa siyo wasichanaKipindi hicho mfumo wa elimu ulikuwa tofauti
Kwa nini asichague mount meru?Swali langu mnashindwa kulijibu. Kwanini CDF alichagua Mount Meru University? Katika vyuo vyote Tanzania. Zingatia ' Mount Meru'
Unakijua cheo cha brigedia?..mtu kaingia jeshini miaka kumi iliyopita unataka afikie cheo cha mwisho,una akili timamu?Kweli lakini wakipata vyeo vikubwa wamebahatika sana mwisho wao ni chro cha Brigedia awavuki zaidi ya hapo.
Dogo njoo nikuajiri,wenzio nawalipa vizuri, siyo hizo laki tatu kwa mwezi unazohangaikia kuwahi mwendokasi kila sikuAcha uchawa bro, fanya kazi upate mkate wako wa kila siku
Mature - age !!!!Ndo maana huwa nasema huyo jamaa ni kilaza.
Yaani kuanzia mwaka 1992 mpaka 2014 hakuwa na shahada ya chuo kikuu?
Kumbe kasoma elimu ya watu wazima ya chuo kikuu…..
Ningependa kuona transcripts zake kutoka hicho chuo alichosomea.
Yawezekana hicho chuo ni diploma mill.
Mimi nakwambia na Kuna siku utakumbuka maneno yangu inawezekana huyu bwana mdogo Nkunda ni Mnyarwanda.
Balozi au ata mstaafu wa nafasi ya ubalozi ni mtu mzito sana. Aliwezaje kuja Dar Es Salaam bila kutoa taarifa? Alipitia njia hipi au uwanja hupi wa ndege na mpaka hupi labda yeye kama Diplomat. KARIBUHujajibu swali langu sijakuomba maelezo ya kujiuzulu [sababu dunia nzima inajua alijiziuzulu ] na mara kadhaa alishasema yupo Dar es Salaam.
Swali langu ni je yupo wapi baada ya kuvamiwa akiwa Dar es Salaam maana familia yake ilishasema alikua akiishi pale.
Sasa swali yuko wapi na polisi hao unaosema ni walinda amani na nchi ina amani inakuaje leo ni mwezi wa 11 kamili hawajasema yupo wapi?
Balozi au ata mstaafu wa nafasi ya ubalozi ni mtu mzito sana. Aliwezaje kuja Dar Es Salaam bila kutoa taarifa? Alipitia njia hipi au uwanja hupi wa ndege na mpaka hupi labda yeye kama Diplomat. KARIBU
Kabisa. Kwa umri wake kipindi hiko, Anastahili pongezi kwa kweli.Alijitahidi sana.
Sidhani kama ni kweli.Hakuna chuo Hapo... Kilishafungiwa siku mingi... Huyo Jenerali alihonga pesa akaletewa cheti mezani
Lini alisema kwamba yupo DSM? Hivi kweli atuoni aibu ya yeye alichokifanya ..kwanini asingekuja na kufuata utaratibu sahihiHayo maswali mlitakiwa muwe mmejua nyie mnaosema mnalinda mipaka na kama mtu alisema yupo Dar es Salaam na akadai mnamsaka ilhali yeye haoni kosa lake ni lipi iweje uulize aliingiaje?
Swali langu hutoweza kulikwepa badi nakuuliza Polepole yupo wapi?
Lini alisema kwamba yupo DSM? Hivi kweli atuoni aibu ya yeye alichokifanya ..kwanini asingekuja na kufuata utaratibu sahihi
Kwamba mimi nikijirekodi na kusema ni Tanga kumbe nipo Bukoba au Mwandiga basi tutachukua kua nipo Tanga? Tumia app ya Google reverse image au video utaona ukweli wa hiyo clip. Dont be a little boy ..
View: https://youtube.com/shorts/BbV-5xiqF9U?is=v2_pj5pKEXeh-AIO
Video hiyo hapo akieleza alipo, na huo utaratibu unaosema ni upi?
Kwamba mimi nikijirekodi na kusema ni Tanga kumbe nipo Bukoba au Mwandiga basi tutachukua kua nipo Tanga? Tumia app ya Google reverse image au video utaona ukweli wa hiyo clip. Dont be a little boy ..
Jibu ni hivi,Pole Pole akuwai kurudi nchin maana hamna ripoti yake kuhusu yeye kurudi nchini kwenye mamlaka.Hujajibu swali langu la msingi, hayo yote sijakuuliza nimekuuliza tangu mwanzo Polepole yupo wapi ulikua na option ya kujibu au kusema hujui haya yote ya kujirekodi sijakuuliza.
Familia yake akiwemo mama yake walishasema alipotea akiwa Dar es Salaam hata habeas corpus waliyoomba walitestify hivyo sasa wewe unaleta story ambazo sijakuuliza.
Hivyo vyombo ulivyovisfia vinalinda amani ndio vilifanya akakosa amani hadi akajificha na ndio vilivyomteka sasa hadi kumuua.