Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

Mkuu hebu nisaidie kuelewa kuhusu hiki kikokotoo. Faida na hasara zake ni nini?
Kabla ya hiyo formula yao ya 33%, mtumishi aliyestaafu alikuwa akipata pension yake ya mkupuo yote

Kwasasa, kama ulikuwa unastahili kulipwa 100,000,000 basi utalipwa shilingi 33,000,000

Hiyo nyingine 67,000,000 utaendelea kulipwa kidogo kidogo na Serikali
 
Watu wanateseka, kuna jamaa amelipwa 23,000,000 mwaka Jana kwa hii formula mpya

Huyu miaka ya nyuma angelipwa sio chini ya 85,000,000
23 million ya kazi gani sasa hivi na maisha haya ? Ni kuwapa stress baada ya ajira. Badala ya kula pention na uzee wao, wanawaingiza kwenye stress na hadi kufa kabla ya wakati wao. Alafu Wabunge wa nchi hii washenzi sanaa wao wanapomaliza mitano yao wanakula mzigo wote
 
Wao si ndiyo watunga sheria 😅

Watumishi wengine wa umma, wao ni kuteseka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…