Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

We pamba pambua sisi tunamtaka aje mahakamani tuu hizo mwember apeleke unguja kwenye eda..
 
wajifunze kujiwekeza, au wajifunze kuiba ?

kuna mishata ya kujiwekeza sasa ? Hivyo vi mishahara vya 2 million, mtu ana familia hiyo, daily to daily cost anabaki na kipi hapo ? unless wajifunze wizi tu nao ngoma iwe draw
Na huo ndiyo mtihani wenyewe

Hata utumie miaka 10 kumfundisha uzalendo mtu hivi sio rahisi kukuelewa
 
Ukishapokea gawio la mkupuo (Ile 33%) Ile inayobaki inatolewa kidogo kidogo hadi utakapoaga Dunia

Kwahiyo ukifa, ndiyo imetoka hiyo

Hakuna pesa nyingine familia itapewa baada ya kifo chako
Kuna mtu niliwai sikia akisema Kuna pesa ya miezi 10 ambayo mtu hupewa baada ya mtu huyo kufariki sina uhakika unaweza kuliweka sawa hili jambo..

Kwaio baada ya kifo mke wa marehemu hapewi kifuta jasho chochote cha marehemu mumewe ili kimsaidie..
 
wajifunze kujiwekeza, au wajifunze kuiba ?

kuna mishahar ya kujiwekeza sasa ? Hivyo vi mishahara vya 2 million, mtu ana familia hiyo, daily to daily cost anabaki na kipi hapo ? unless wajifunze wizi tu nao ngoma iwe draw
Kwaio mkuu sisi wenye salary ya tarakimu SITA. Bila kujiwekeza hatutoboi hahaha haaaahaa

Kwa dar es salaam naona pesa inatumika sana mfano Mimi kwa wastani kwa siku natumia 40,000 iviii kwa kadilio dogo.

Kwaio hata kama una ingiza 2m unaweza jikuta hufanyi lolote la maana tena kwa sisi tunao piga BIA daily HAPA TUNASINGIZIA TUMEROGWA
 
Nchi inapenda wajinga, na ukiwa na akili kama wanakuchukua ukubali kuwa mjinga. Kuna zee moja kila huwa nikikaa nalo linanisifia sana, kuhusu elimu na akili la ndani ndani huko uchawani, ila kujionesha ile kujitambua na kugomea ujinga, limefungw njia zote za mie kutoboa 😅😅😅.. Uzuri na mie sina tamaa ya mali za utapeli
 
Kwa spirit hiyo utatoboa...Mimi akili zangu Huwa sizionyeshi waziwazi ukiwa na seniors wenye wivuuu ( DO NOT OUTSMART YOUR MASTER) maana CV wataiwekea GUNDU 😁
 
cv yake nyingine ni Shahidi wa Lissu
 
Mida hii hupo zako kwa Mangi umeagiza Pepsi ya baridi na karanga za mayai kwasababu ya kuwepo amani ..ila hapo hapo unaweza kusema Tanzania hamna amani.

Umekariri unapoenda hapo kwa Mangi basi kila mtu ndio yupo au anaenda ?

Na unaweza kunitajia kipimo cha amani ni kipi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…