Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

Kwamba wote walisalimiana wakiwa chato kule!!?

Kwamba walikua na mfanano fulani ndio maana walitangulia in series!!?

Walikua na mapatano Fulani hapo mbeleni !!?yaani serikali kadhaa halafu wewe uwe kule huku mwingine na mimi nakua mkuu wenu au!!?yaani like Bunge la mihula sabaha!!?

Au!!?
Mkuu sijui. Muulize yoga
 
Samwel J. Sitta mbona kama aligombea au kumbukumbu haziko sawa......!
 
Walale pema pemaponi.

Kwa namna yoyote Ile mungu alipanga jambo katika uchaguzi wa 2015. Nadhani haukuwa na baraka zake.

Kwa namna yoyote Ile kutoka vyama vikubwa yeyote angeshinda asingetoboa awamu zote mbili
 
Nywere nyeupe mawazo ya kukosa kufikia ndoto zake huenda ndio yamesababisha alale mapema.
 
Back
Top Bottom