Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

Mkuu sijui. Muulize yoga
 
Samwel J. Sitta mbona kama aligombea au kumbukumbu haziko sawa......!
 
Walale pema pemaponi.

Kwa namna yoyote Ile mungu alipanga jambo katika uchaguzi wa 2015. Nadhani haukuwa na baraka zake.

Kwa namna yoyote Ile kutoka vyama vikubwa yeyote angeshinda asingetoboa awamu zote mbili
 
Nywere nyeupe mawazo ya kukosa kufikia ndoto zake huenda ndio yamesababisha alale mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…