Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Je unamjua Lina Medina huyu ni mama mdogo kabisa kuwahi kutokea katika dunia alipata mtoto akiwa na miaka mitano miezi 7 na siku 21 alipata mtoto mwaka 1939 may 14, kumbuka alizaliwa 27 sept 1933
Mtoto wake Geraldo Medina alizaliwa 1939 may 14
Mtoto wake Geraldo Medina alizaliwa 1939 may 14