Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Duu, hii ina maana mtoto huyo alitembea kwa wastani wa kilomita 160 kwa saa, ambayo ni kasi ya gari la kawaida.Vita alitembea urefu wa km 960
=
Najaribu kuwaza kwa sauti!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu, hii ina maana mtoto huyo alitembea kwa wastani wa kilomita 160 kwa saa, ambayo ni kasi ya gari la kawaida.Vita alitembea urefu wa km 960
GEORGE STINNEY JR MWENYE MIAKA 14. NDIYE MTU MDOGO KULIKO WOTE ALIYEWAHI KUNYONGWA, BAADAE AKATHIBITISHWA HANA HATIA.[emoji24]View attachment 2678915
Hivi katka Hali kama hii haki yake ataipataje?
Una hakika gan km internet itaendelea kuwepo na kuhudumu km ifanyavyo hivi sasa?Huu mtandao wa wazungu na haya mapumba mnayoandikaga humu watt wenu miaka mingi ijayo watakuja kusoma pia
Ni tukio la kusikitisha sana. Limetokea katika Kitongoji cha Bombani, kijiji cha Dumila Mkoani Morogoro.Mnamo 1915, mwanamke alifika kwa kuchelewa makaburini kwenye mazishi ya dada yake. Alipofika alidai jeneza la dada yake linyanyuliwe ili amuone kwa mara ya mwisho. Jeneza lilipofunguliwa, dada yake, Essie Dunbar, aliketi na kumtabasamu. Baada ya hapo aliendelea kuishi miaka 47 zaidi.View attachment 2678907
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamo 1915, mwanamke alifika kwa kuchelewa makaburini kwenye mazishi ya dada yake. Alipofika alidai jeneza la dada yake linyanyuliwe ili amuone kwa mara ya mwisho. Jeneza lilipofunguliwa, dada yake, Essie Dunbar, aliketi na kumtabasamu. Baada ya hapo aliendelea kuishi miaka 47 zaidi.View attachment 2678907
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uwezekano kuwa pengine aliyezikwa hakuwa amekufa bali alikuwa amezimia tu?Ni tukio la kusikitisha sana. Limetokea katika Kitongoji cha Bombani, kijiji cha Dumila Mkoani Morogoro.
Kwa mujibu wa watoa taarifa, mwili wa mtu aliyedaiwa kufa kifo cha ghafla, ulionekana ukitoka jasho na mapigo ya moyo kupiga kwa mbali. Waliotaka daktari aitwe aje athibitishe kama kweli kafariki hawakusikilizwa. Baba mtu alikataa kwa madai kuwa mwanaye kashaaga dunia.
Cha ajabu, waliitwa wataalamu wa mila! Kwa huko, pengine, waganga wa kienyeji wanaoaminika kuliko madaktari! Inasikitisha.
Najiuliza!
Wanakijiji walishindwa kumshinikiza huyo baba akubali
mtoto wake kupelekwa hospitalini?
Uongozi wa kijiji ulishindwa kuzuia mazishi ya huyo mtu baada ya kuwepo kwa huo utata?
Hakuna uwezekano kuwa pengine aliyezikwa hakuwa amekufa bali alikuwa amezimia tu?
Hayo yametokea kwa bahati mbaya au kuna agenda ya siri nyuma yake?
Kuna umuhimu wa hiyo taarifa kufuatiliwa na
vyombo husika.
Kuna agenda ya siri nyuma yakeHakuna uwezekano kuwa pengine aliyezikwa hakuwa amekufa bali alikuwa amezimia tu?
Hayo yametokea kwa bahati mbaya au kuna agenda ya siri nyuma yake[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ktk mbio za ultra marathon44.4 m/s at constant speed angetembea kwa umbali huo [emoji23] Yaani kwa dakika moja anatembea 2.67 km [emoji2297]
na yule mwanamke aliyemzushia hayo alikufa hivi karibuni tu, lakini ninaamini hakusahau hiyo maana alikuwa akikumbushwa mara kadhaa na wa
ahabari.
Alimzushia nini?na yule mwanamke aliyemzushia hayo alikufa hivi karibuni tu, lakini ninaamini hakusahau hiyo maana alikuwa akikumbushwa mara kadhaa na wanahabari.
kwani hawa wa dp w nao watakuwa kama hao ???Walikuwa kama sisi na sisi tutakuwa kama wao. Tuishi duniani Kwa kuheshimiana na kusaidiana, na tuache ubinafsi. Maana muda mwingine tunaishi kama hatutakufa. Na aliyekufa ni kama hajawahi kuishi.