Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Hujachanganya kisa cha George Stinney na Emmett Till kweli?na yule mwanamke aliyemzushia hayo alikufa hivi karibuni tu, lakini ninaamini hakusahau hiyo maana alikuwa akikumbushwa mara kadhaa na wanahabari.
Mtoto kazaa mtotoJe unamjua Lina Medina huyu ni mama mdogo kabisa kuwahi kutokea katika dunia alipata mtoto akiwa na miaka mitano miezi 7 na siku 21 alipata mtoto mwaka 1939 may 14, kumbuka alizaliwa 27 sept 1933
Mtoto wake Geraldo Medina alizaliwa 1939 may 14
View attachment 2679953View attachment 2679954View attachment 2679955
Next level geniusZiad Fazah ni mtu aliyekuwa ana uwezo wa kuongea lugha 58 vizuri bila kubabaika
View attachment 2679959
lugha alizokuwa anaweza kuongea ni kama vile
- Albanian
- Amharic
- Arabic
- Armenian
- Azerbaijani
- Bengali
- Bulgarian
- Burmese
- Cantonese
- Czech
- Danish
- Dutch
- Dzongkha / Bhutanese
- English
- Fijian
- Finnish
- French
- German
- Greek
- Hebrew
- Hindi
- Hungarian
- Icelandic
- Indonesian
- Italian
- Japanese
- Khmer
- Korean
- Kyrgyz
- Lao
- Malagasy
- Malay
- Maltese
- Mandarin
- Mongolian
- Nepali
- Norwegian
- Pashto
- Papiamento
- Persian
- Polish
- Portuguese
- Romanian
- Russian
- Samoan
- Serbo-Croatian
- Shanghainese (dialect of Wu Chinese)
- Singlish
- Sinhala
- Spanish
- Standard Tibetan
- Swahili
- Swedish
- Tajik
- Thai
- Turkish
- Urdu
- Uzbek
- Vietnamese ( source wikipedia )
Hii ni fiction yaani Utoke Dar hadi Mbeya kwa msaa 6 ngumu kumeza.View attachment 2678912
Mtoto sebi machid mwenye miaka 6 toka afrika ya kati wakati wa Vita alitembea urefu wa km 960 kwa masaa 6 tu
Kweli yule wa Emett Till ndiye aliyekufa hivi karibuniHujachanganya kisa cha George Stinney na Emmett Till kweli?
Hii hapana, zaidi ya tren ya SGR.View attachment 2678912
Mtoto sebi machid mwenye miaka 6 toka afrika ya kati wakati wa Vita alitembea urefu wa km 960 kwa masaa 6 tu
Alipaa?😳View attachment 2678912
Mtoto sebi machid mwenye miaka 6 toka afrika ya kati wakati wa Vita alitembea urefu wa km 960 kwa masaa 6 tu
dogo ana injini ya bugati? Toka na Chai zakoView attachment 2678912
Mtoto sebi machid mwenye miaka 6 toka afrika ya kati wakati wa Vita alitembea urefu wa km 960 kwa masaa 6 tu
Kama sgrkama ni mbio alikuwa pace ya 2 au 3 maana ukigawanya kwa saa alikuwa natembea 160 KM
Hii nahisi ni namna ya kuhifadhi kumbukumbu.
Walikuwa kama sisi na sisi tutakuwa kama wao. Tuishi duniani Kwa kuheshimiana na kusaidiana, na tuache ubinafsi. Maana muda mwingine tunaishi kama hatutakufa. Na aliyekufa ni kama hajawahi kuishi.