Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

wasiwasi ni nani aliyeanzisha hii cryptocurrency ? Je, haina ushindani na nyingine ambayo pengine ikawa siyo dili tena miaka ya baadae? Yaan ni kama nataka kuelewa hii ni nini hasa lakni bdo sielewi vzuri
 
Bitcoin huwezi kununua saa hii thamani ya bitcoin moja ni zaidi ya 52000000/- fedha za kwetu.
 
Mmmhhh!!!!!
 
Kwa hiyo haina umuhimu wowote Zaidi kwenye illigal business ama taja hizo masoko ya mtandao yanayotumia bitcoin

ina umuhimu ila matumizi yake yako limited sio tovuti zote zinakubali!
ila kama ni mtu wakununua vitu mtandaoni nje ya physical goods ni ite nyingi zinapokea Bitcoin!

pia kuna kampuni inayofanya Forwarding kutoka eBay inakubali Bitcoin Viabox | Leader in Package Forwarding | Free USA Address

waweza kuwa na bitcoin pia ukawauzia watu wewe ukalipwa kwa pesa iliyo physical/ambayo unaweza withdraw
 
Kuna hawa jamaa wanafanya hata kwa mpesa au tigopesa
Reminato Buy and sell Bitcoin in Tanzania

Na hawa pia
LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins
 
Hii pesa ninaweza kuidraw na kuitumia kwa matumizi ya kawaida?
mfano. Nina hela kwenye mpesa, nitaweza kuitoa na kununua kitu chochote ninachotaka.
Je, bitcoin iko hivyo?
Yap unaweza
 
Wengi bado kitendawili nini haswa ni bitcoin?

Michezo ya pesa imekua mingi sana sasa bongo kuweni makini, kama Ponzi Scheme zinakuja kwa kasi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu bitcoin, unanuaje na kuuzaje, trends, news na yoote utakayo kuyajua hapa umefika. Ask me Telegram Bitcoin Traders

New group, invite friends tuwe wengi tuweze share na kujifunza all about trading hizi cryptocurrencies.

Make Money Online at home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…