Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Bitcoin ni mfumo mpya wa kisasa wa pesa unaopanda thamani kwa kasi na ulibuniwa na mtu asiyejulikana ila alitumia jina la Satoshi Nakamoto. miamala yake hufanyika bila middle men – namaanisha,bila hata benki! na hamna kulipa ada ya muamala wala huhitajiki kutumia jina halisi.
 
Naomba mwenye uelewa kuhusu bitcoin anieleweshe na jinsi ya kufanya biashara hasa kwa Tanzania!
Bitcoin ni nini?

Blockchain ni nini?

Cryptocurrency ni nini?

Kwa wanaopenda kusoma wasome hivi vitu vitatu kwa undani mimi nitaelezea juu juu tu.

Internet ilipoanza ilionekana kunahaja ya kufanya malipo kwenye mtandao huwezi kufanya na hela ya karatasi ndipo hapo digital currency zilipo anza.

Tulianza na
1.Visa master card ni digital lakini unalipa fees kubwa.

2.Tukaja mobile money mpesa na Tigopesa(2007).Ni digital,kuna fees kubwa na inafika umbali wa mtandao wa simu.

3.Sasa (2009) zimeingia Cryptocurrency-Ni digital, hakuna fees/fees ndogo sana na inaenda umbali wa internet.

Cryptocurrency ya kwanza Duniani inaitwa Bitcoin.Ilianza 2009 baada ya mtikisiko wa Dunia.
Mpaka sasa kuna cryptocurrency zaidi ya 400 mfano Onecoin,Ripple(ya google)n.k

Sifa za bitcoin

1.Mmiliki hajulikani.
2.Hakuna ofisi ya bitcoin.
3.Holders wa bitcoin hawatambuliki sababu hawafanyi KYC.

Pamoja na sifa mbaya kuhusu bitcoin inaendelea kupata umaarufu sana Duniani kwa ajili ya technolojia ya Blockchain iliyoletwa na Bitcoin

Blockchain ni technology ambayo inarekodi(UHASIBU) na kuverify(REAL TIME AUDIT) transaction na inaendelea kuharibu biashara nyingi duniani.

Hivi mtu akikurushia hela na tigo pesa au mpesa wewe unapokea kwenye simu yako paper money au digital money?

Jibu😀igital money

Digial za mpesa ni mali ya vodacom na ndiyo maana fees inaenda vodacom.

Digital za tigopesa…….mali ya tigo…….

Digital za cryptocurrency ni mali yangu mimi na wewe.Kwa sasa ndiyo tunazinunua (kitaalamu inaitwa minning).Kwa sababu ni zangu inaana nikiamua kumrushia mtu HAKUNA FEES

Faida ya kununua CRYPTOCURRENCY sasa unakuwa umewekeza kwenye kitu kinachopanda thamani kama vile kiwanja au share

Hata internet,mpesa,tigopesa hazikuwepo lakini kwa sasa kila mtu anatumia.

Block chain ni internet of value au internet of things sisi tumeizoea internet of information.

So kama mtu anatumia internet hata blockchain atatumia tu.

Aina za internet:

Phase 1
Internet of information

>Ndiyo tulioizoea.
>Inaruhusu copy and paste
>unaweza ukatuma email kwa watu 10 na bado wewe ukabaki na copy.

Phase 2
Internet of value

1- Technologia MPYA ya blockchain.
2- Inaruhusu transfer of ownership kwenye money,bonds,tittledeeds,Asets,shares n.k
3- Ukitransfer ownership wewe haubaki na copy

*li uweze kutumia hii bitcoin lazima ufungue akaunti hapa www.localbitcoins.com

Mambo ya kuzingatia wakati unafungua akaunt hii

*hakikisha unatunza key zako

*Download app ya google authenticator ili kuscan

JINSI YA KUHAMISHA BITCOINS KWENDA MPESA AU TIGO PESA

Hakikisha unafungua akaunti hapa na kukamilisha taarifa zako kwa kubofya

BitPesa

Ukiwa na swali wewe comment ntakujibu kukupa msaada bure kabisa

UNAWEZA KUTUMIA BITCOIN KUNUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA TANZANIA NA NCHI JIRANI KWA KUBOFYA HAPA

Mobile recharge with Bitcoin in Tanzania
 
Bitcoin ni mfumo mpya wa kisasa wa pesa unaopanda thamani kwa kasi na ulibuniwa na mtu asiyejulikana ila alitumia jina la Satoshi Nakamoto. miamala yake hufanyika bila middle men – namaanisha,bila hata benki! na hamna kulipa ada ya muamala wala huhitajiki kutumia jina halisi.
Kuna kitu uko sahihi,
Kua ni mfumo mpya wa ki pesa unaofanyika online,

Ila kuna kitu pia hauko sahihi,
Kua Unapanda thamani kwa kasi,

Kwa sasa Bitcoin imekua ikiyumba kidogo kwa thamani kwani kuna wakati ilifika mpaka BTC1 = $4,900 ila kwa sasa imeshuka mpaka $ 3,800
 
Kuhusu serikali na utakatishaji pesa hii kitu ipo vip mkuu.
 
mkuu uko sahihi ila hapa umetudanganya
sio lazima Uwe na account ya local bitcoin na ingekuwa hivyo watu wasingeweza kununua bitcoin before 2012 ambapo ndio hii kampuni ilianzishwa huko Finland
na bwana Nikolaus Kangas
 
Hata Mimi mwanakijiji naweza kuunganishwa au ni wa Mjini tu
 
Mkuu nashukuru kwa Elimu nzuri sana ILA nina maswali machache:-

1.Hizo platform ulizoweka kuna yeyote inayokuwezesha kudraw Cash toka katika BTC account au ni mpaka uuze BTC kwa mtu mwingine anayezihitaji?

2. Kuna hawa ndugu katika https://remitano.com/tz niliopendekezwa na jamaa zangu waliopo katika hii biashara ya BTC ni reliable platform?

Ahsante

Bitcoin ni nini?

Blockchain ni nini?

Cryptocurrency ni nini?

Kwa wanaopenda kusoma wasome hivi vitu vitatu kwa undani mimi nitaelezea juu juu tu.

Internet ilipoanza ilionekana kunahaja ya kufanya malipo kwenye mtandao huwezi kufanya na hela ya karatasi ndipo hapo digital currency zilipo anza.

Tulianza na
1.Visa master card ni digital lakini unalipa fees kubwa.

2.Tukaja mobile money mpesa na Tigopesa(2007).Ni digital,kuna fees kubwa na inafika umbali wa mtandao wa simu.

3.Sasa (2009) zimeingia Cryptocurrency-Ni digital, hakuna fees/fees ndogo sana na inaenda umbali wa internet.

Cryptocurrency ya kwanza Duniani inaitwa Bitcoin.Ilianza 2009 baada ya mtikisiko wa Dunia.
Mpaka sasa kuna cryptocurrency zaidi ya 400 mfano Onecoin,Ripple(ya google)n.k

Sifa za bitcoin

1.Mmiliki hajulikani.
2.Hakuna ofisi ya bitcoin.
3.Holders wa bitcoin hawatambuliki sababu hawafanyi KYC.

Pamoja na sifa mbaya kuhusu bitcoin inaendelea kupata umaarufu sana Duniani kwa ajili ya technolojia ya Blockchain iliyoletwa na Bitcoin

Blockchain ni technology ambayo inarekodi(UHASIBU) na kuverify(REAL TIME AUDIT) transaction na inaendelea kuharibu biashara nyingi duniani.

Hivi mtu akikurushia hela na tigo pesa au mpesa wewe unapokea kwenye simu yako paper money au digital money?

Jibu😀igital money

Digial za mpesa ni mali ya vodacom na ndiyo maana fees inaenda vodacom.

Digital za tigopesa…….mali ya tigo…….

Digital za cryptocurrency ni mali yangu mimi na wewe.Kwa sasa ndiyo tunazinunua (kitaalamu inaitwa minning).Kwa sababu ni zangu inaana nikiamua kumrushia mtu HAKUNA FEES

Faida ya kununua CRYPTOCURRENCY sasa unakuwa umewekeza kwenye kitu kinachopanda thamani kama vile kiwanja au share

Hata internet,mpesa,tigopesa hazikuwepo lakini kwa sasa kila mtu anatumia.

Block chain ni internet of value au internet of things sisi tumeizoea internet of information.

So kama mtu anatumia internet hata blockchain atatumia tu.

Aina za internet:

Phase 1
Internet of information

>Ndiyo tulioizoea.
>Inaruhusu copy and paste
>unaweza ukatuma email kwa watu 10 na bado wewe ukabaki na copy.

Phase 2
Internet of value

1- Technologia MPYA ya blockchain.
2- Inaruhusu transfer of ownership kwenye money,bonds,tittledeeds,Asets,shares n.k
3- Ukitransfer ownership wewe haubaki na copy

*li uweze kutumia hii bitcoin lazima ufungue akaunti hapa www.localbitcoins.com

Mambo ya kuzingatia wakati unafungua akaunt hii

*hakikisha unatunza key zako

*Download app ya google authenticator ili kuscan

JINSI YA KUHAMISHA BITCOINS KWENDA MPESA AU TIGO PESA

Hakikisha unafungua akaunti hapa na kukamilisha taarifa zako kwa kubofya

BitPesa

Ukiwa na swali wewe comment ntakujibu kukupa msaada bure kabisa

UNAWEZA KUTUMIA BITCOIN KUNUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA TANZANIA NA NCHI JIRANI KWA KUBOFYA HAPA

Mobile recharge with Bitcoin in Tanzania
 
Bitcoin ni mfumo mpya wa kisasa wa pesa unaopanda thamani kwa kasi na ulibuniwa na mtu asiyejulikana ila alitumia jina la Satoshi Nakamoto. miamala yake hufanyika bila middle men – namaanisha,bila hata benki! na hamna kulipa ada ya muamala wala huhitajiki kutumia jina halisi.
Vizur sana umeielezea kifupi na kwa usahihi
 
Ila inatumika kwenye black market pekee
Usipofahamu kitu usizungumzie mbele ya halaiki kwamaana hufahamu watu waliokusanyika wote wanauelewa gani, hata pesa unayoijua wewe hutumika kwenye black market in short kitu chochote chenye thaman kinaweza kutumika kwenye black market itadepend na nini mmechagua
 
Back
Top Bottom