Emmanuel TM
Member
- Sep 25, 2017
- 67
- 88
Jiunge na Bitclub advantage itakusaidia Sana kwenye uwekezaji wako na vilevile inakupa faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu usijaribu bitclub ni ponzi scheme sio bitcoin utaliwaJiunge na Bitclub advantage itakusaidia Sana kwenye uwekezaji wako na vilevile inakupa faida
pole kwa uongo mnaolishana vijiweniIla inatumika kwenye black market pekee
Bitcoin ni nini?Naomba mwenye uelewa kuhusu bitcoin anieleweshe na jinsi ya kufanya biashara hasa kwa Tanzania!
pole kwa uongo mnaolishana vijiweni
Kuna kitu uko sahihi,Bitcoin ni mfumo mpya wa kisasa wa pesa unaopanda thamani kwa kasi na ulibuniwa na mtu asiyejulikana ila alitumia jina la Satoshi Nakamoto. miamala yake hufanyika bila middle men – namaanisha,bila hata benki! na hamna kulipa ada ya muamala wala huhitajiki kutumia jina halisi.
Bitcoin ni nini?
Blockchain ni nini?
Cryptocurrency ni nini?
Kwa wanaopenda kusoma wasome hivi vitu vitatu kwa undani mimi nitaelezea juu juu tu.
Internet ilipoanza ilionekana kunahaja ya kufanya malipo kwenye mtandao huwezi kufanya na hela ya karatasi ndipo hapo digital currency zilipo anza.
Tulianza na
1.Visa master card ni digital lakini unalipa fees kubwa.
2.Tukaja mobile money mpesa na Tigopesa(2007).Ni digital,kuna fees kubwa na inafika umbali wa mtandao wa simu.
3.Sasa (2009) zimeingia Cryptocurrency-Ni digital, hakuna fees/fees ndogo sana na inaenda umbali wa internet.
Cryptocurrency ya kwanza Duniani inaitwa Bitcoin.Ilianza 2009 baada ya mtikisiko wa Dunia.
Mpaka sasa kuna cryptocurrency zaidi ya 400 mfano Onecoin,Ripple(ya google)n.k
Sifa za bitcoin
1.Mmiliki hajulikani.
2.Hakuna ofisi ya bitcoin.
3.Holders wa bitcoin hawatambuliki sababu hawafanyi KYC.
Pamoja na sifa mbaya kuhusu bitcoin inaendelea kupata umaarufu sana Duniani kwa ajili ya technolojia ya Blockchain iliyoletwa na Bitcoin
Blockchain ni technology ambayo inarekodi(UHASIBU) na kuverify(REAL TIME AUDIT) transaction na inaendelea kuharibu biashara nyingi duniani.
Hivi mtu akikurushia hela na tigo pesa au mpesa wewe unapokea kwenye simu yako paper money au digital money?
Jibu😀igital money
Digial za mpesa ni mali ya vodacom na ndiyo maana fees inaenda vodacom.
Digital za tigopesa…….mali ya tigo…….
Digital za cryptocurrency ni mali yangu mimi na wewe.Kwa sasa ndiyo tunazinunua (kitaalamu inaitwa minning).Kwa sababu ni zangu inaana nikiamua kumrushia mtu HAKUNA FEES
Faida ya kununua CRYPTOCURRENCY sasa unakuwa umewekeza kwenye kitu kinachopanda thamani kama vile kiwanja au share
Hata internet,mpesa,tigopesa hazikuwepo lakini kwa sasa kila mtu anatumia.
Block chain ni internet of value au internet of things sisi tumeizoea internet of information.
So kama mtu anatumia internet hata blockchain atatumia tu.
Aina za internet:
Phase 1
Internet of information
>Ndiyo tulioizoea.
>Inaruhusu copy and paste
>unaweza ukatuma email kwa watu 10 na bado wewe ukabaki na copy.
Phase 2
Internet of value
1- Technologia MPYA ya blockchain.
2- Inaruhusu transfer of ownership kwenye money,bonds,tittledeeds,Asets,shares n.k
3- Ukitransfer ownership wewe haubaki na copy
*li uweze kutumia hii bitcoin lazima ufungue akaunti hapa www.localbitcoins.com
Mambo ya kuzingatia wakati unafungua akaunt hii
*hakikisha unatunza key zako
*Download app ya google authenticator ili kuscan
JINSI YA KUHAMISHA BITCOINS KWENDA MPESA AU TIGO PESA
Hakikisha unafungua akaunti hapa na kukamilisha taarifa zako kwa kubofya
BitPesa
Ukiwa na swali wewe comment ntakujibu kukupa msaada bure kabisa
UNAWEZA KUTUMIA BITCOIN KUNUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA TANZANIA NA NCHI JIRANI KWA KUBOFYA HAPA
Mobile recharge with Bitcoin in Tanzania
mkuu uko sahihi ila hapa umetudanganya[/URL]
Hata Mimi mwanakijiji naweza kuunganishwa au ni wa Mjini tumkuu uko sahihi ila hapa umetudanganya
sio lazima Uwe na account ya local bitcoin na ingekuwa hivyo watu wasingeweza kununua bitcoin before 2012 ambapo ndio hii kampuni ilianzishwa huko Finland
na bwana Nikolaus Kangas
unaweza kuunganishwaHata Mimi mwanakijiji naweza kuunganishwa au ni wa Mjini tu
Bitcoin ni nini?
Blockchain ni nini?
Cryptocurrency ni nini?
Kwa wanaopenda kusoma wasome hivi vitu vitatu kwa undani mimi nitaelezea juu juu tu.
Internet ilipoanza ilionekana kunahaja ya kufanya malipo kwenye mtandao huwezi kufanya na hela ya karatasi ndipo hapo digital currency zilipo anza.
Tulianza na
1.Visa master card ni digital lakini unalipa fees kubwa.
2.Tukaja mobile money mpesa na Tigopesa(2007).Ni digital,kuna fees kubwa na inafika umbali wa mtandao wa simu.
3.Sasa (2009) zimeingia Cryptocurrency-Ni digital, hakuna fees/fees ndogo sana na inaenda umbali wa internet.
Cryptocurrency ya kwanza Duniani inaitwa Bitcoin.Ilianza 2009 baada ya mtikisiko wa Dunia.
Mpaka sasa kuna cryptocurrency zaidi ya 400 mfano Onecoin,Ripple(ya google)n.k
Sifa za bitcoin
1.Mmiliki hajulikani.
2.Hakuna ofisi ya bitcoin.
3.Holders wa bitcoin hawatambuliki sababu hawafanyi KYC.
Pamoja na sifa mbaya kuhusu bitcoin inaendelea kupata umaarufu sana Duniani kwa ajili ya technolojia ya Blockchain iliyoletwa na Bitcoin
Blockchain ni technology ambayo inarekodi(UHASIBU) na kuverify(REAL TIME AUDIT) transaction na inaendelea kuharibu biashara nyingi duniani.
Hivi mtu akikurushia hela na tigo pesa au mpesa wewe unapokea kwenye simu yako paper money au digital money?
Jibu😀igital money
Digial za mpesa ni mali ya vodacom na ndiyo maana fees inaenda vodacom.
Digital za tigopesa…….mali ya tigo…….
Digital za cryptocurrency ni mali yangu mimi na wewe.Kwa sasa ndiyo tunazinunua (kitaalamu inaitwa minning).Kwa sababu ni zangu inaana nikiamua kumrushia mtu HAKUNA FEES
Faida ya kununua CRYPTOCURRENCY sasa unakuwa umewekeza kwenye kitu kinachopanda thamani kama vile kiwanja au share
Hata internet,mpesa,tigopesa hazikuwepo lakini kwa sasa kila mtu anatumia.
Block chain ni internet of value au internet of things sisi tumeizoea internet of information.
So kama mtu anatumia internet hata blockchain atatumia tu.
Aina za internet:
Phase 1
Internet of information
>Ndiyo tulioizoea.
>Inaruhusu copy and paste
>unaweza ukatuma email kwa watu 10 na bado wewe ukabaki na copy.
Phase 2
Internet of value
1- Technologia MPYA ya blockchain.
2- Inaruhusu transfer of ownership kwenye money,bonds,tittledeeds,Asets,shares n.k
3- Ukitransfer ownership wewe haubaki na copy
*li uweze kutumia hii bitcoin lazima ufungue akaunti hapa www.localbitcoins.com
Mambo ya kuzingatia wakati unafungua akaunt hii
*hakikisha unatunza key zako
*Download app ya google authenticator ili kuscan
JINSI YA KUHAMISHA BITCOINS KWENDA MPESA AU TIGO PESA
Hakikisha unafungua akaunti hapa na kukamilisha taarifa zako kwa kubofya
BitPesa
Ukiwa na swali wewe comment ntakujibu kukupa msaada bure kabisa
UNAWEZA KUTUMIA BITCOIN KUNUNUA MUDA WA MAONGEZI KWA TANZANIA NA NCHI JIRANI KWA KUBOFYA HAPA
Mobile recharge with Bitcoin in Tanzania
Ndio hiyo ni moja kati ya matumizi mengiSo unanunua value ya bitcoin halafu unasell ikipanda au unafanyaje?
Vizur sana umeielezea kifupi na kwa usahihiBitcoin ni mfumo mpya wa kisasa wa pesa unaopanda thamani kwa kasi na ulibuniwa na mtu asiyejulikana ila alitumia jina la Satoshi Nakamoto. miamala yake hufanyika bila middle men – namaanisha,bila hata benki! na hamna kulipa ada ya muamala wala huhitajiki kutumia jina halisi.
Usipofahamu kitu usizungumzie mbele ya halaiki kwamaana hufahamu watu waliokusanyika wote wanauelewa gani, hata pesa unayoijua wewe hutumika kwenye black market in short kitu chochote chenye thaman kinaweza kutumika kwenye black market itadepend na nini mmechaguaIla inatumika kwenye black market pekee