Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

Lini nimemchukia kagame?? Mbona thread kibao humu namsifia sana..... Nachopingana na kagame ni eneo la UDIKTETA na UKABILA basi hapo tu mengine yote namuunga mkono hasa mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa aliyoyaleta ntakuwa mwendawazimu kupinga hilo

Kwanini nimchukie kwa akili zake kwani ninagombea naye urais 2024 ama mie ni kilaza hadi nimuonee wivu?? Na nani kasema kagame ndio brightest au kisa ni maarufu kuliko wanyarwanda wengine?? Kuna wenye akili wengi tu Rwanda hata nmesoma nao most tutsis are bright sana tu so kagame sio wa kwanza na sio wa mwisho

Embu uache slave mentality ya kuamini wengine hawawezi ila kagame tu...... Na ndio hiki kinaua Afrika mtu mmoja kujiona ana akili kuliko wengine.... Sasa kwa mfano leo akifa ghafla si ina maana Rwanda itaporomoka?? Haijalishi una akili kiasi gani mbona Mahathir mohammed licha ya kwamba aliitoa singapore kwenye jalala na sasa ni top hapa duniani ila aliachia ngazi?? Kwanini unaamini hakuna wengine?? Umewajaribu?? Unajua baraza la mawaziri la kagame au kisa unamjua kagame tu basi ndio unamuona anafaa pekee..... Ni vizuri kufanya succession plan nzuri ili hata likitokea lolote nchi hainguki sio kuaminishana kwa kuwa ana akili sana basi atawale milele BIG NO.... Nchi haitostawi kwa akili za mtu mmoja bali MFUMO otherwise huyo mtu akifa nchi nayo inakufa kama PATRICE LUMUMBA NA ZAIRE

Sina chuki na kagame mkuu ila ukweli lazima usemwe kwenye issue ya UTAWALA amechemka sana.... Hivi kwa maendeleo yote yale alikuwa na haja ya kuogopa wapinzani?? Yule binti si bora angemuibia kura tu kuliko kumtesa vile then wwe huoni shida?? Yukwapi ingabire?? Yukwapi nyamwasa?? Kwanni hataki mawazo mbadala??

Kingine ni issue ya genocide kagame anaficha mengi sana na anapotosha dunia ndio maana kwa hili huwa nampinga wazi wazi bila kupepesa macho hata humu nlitoka mapovu sana maana ni propaganda tupu facts ni 20%....

Mfano Bold anasema eti kagame hakuua ruhengeri?? Ina maana risasi za RPF zililenga wanajeshi wa serikali pekee ila alishindwa kutwambia kivipi wahutu 40,000 walikutwa wamechinjwa na wengine kukimbia makazi!! Kulingana na ripoti za human rights watch!!

Kagame namkubali sana ila kwa hili la genocide hapana ntampinga kma alivyofanya Mch Mtikila hadi anaingia kaburini

Long live East Africa
Long live Rwanda
Hao wote uliowataja hawapingi serikali ya kagame Sera zake wao wanapinga umoja wa wanyarwanda wanapanda chuki na kuleta utengano wa makabila, kama unabisha weka hapa Sera za ingabire, weka sera za rwigara hapa tuone, pitia video zao YouTube uone wanahubiri nini? Wanataka kurudisha mambo ya kangura magazine ili nchi irudi 20yrs back? Ungukuwa wewe ndo president ungewachekea? Wakiachwa unajua mwisho wao kutatokea nini? Kumbe demokrasia kwako ni kusema kila kitu? Hao wapinzani waliomsifia kagame kwenye mdahalo sio demokrasia ila wangemponda ndio demokrasia? Mkuu nikiangalia Rwanda miaka 20 iliyopita na miaka 30 ijayo hapo ndo nauona u genius wa kagame, trust me that man sio wa dunia hii, that man is from the futures! He is a true gift from God to the rwandese and Africans
 
Kwahiyo ukidai genocide ipitiwe upya ndio dhambi kuwa unataka urudishe nchi kwenye genocide?? Kwahiyo hata kufukua makaburi ili ukweli ujulikane hamtaki..... Demokrasia ni uhuru wa mawazo sasa hta mtu akipandikiza ukabila fungua kesi mahakama iamue sio unamuundia zengwe mara kampuni mara sijui kakwepa kodi yaani sababu za mbali kabisa na siasa hapo utasemaje???

Mkuu ww ni pro kagame so hutaweza nielewa na unanufaika na system ndio maana unaona hao wengine wahuni tu ila ukweli ni kwamba kagame atafika mbali sana hta kuwa level ya Mandela kama ataacha ukabila na udikteta otherwise naona nyota yake ikizimwa kama gadaffi siku moja na hatokumbukwa kwa lolote zaidi ya UDIKTETA

Mie yangu macho tutakuja kufufua huu uzi hata miaka 10 ijayo muhim tuombe uhai tu.... Who knew jammeh and mugabe ama compaore watatolewa kwa aibu huku wakizomewa ??? Legacy yake yote utafutika.....
 
Suala la kukumbukwa atawapita wote mashujaa wa afrika kutoa nchi vitani mpaka hapo alipoifikisha hakuna mtangulizi wake katika maraisi wa Rwanda alietenda japo 10% yake katika kila nyanja na kufikia 2050 kila mwafrika atakubali na kuadmire hatua za Rwanda na historia itamkumbuka Pk kwa vizazi kumi vijavyo pengine huoni ila fumbua macho ona bila kukingwa na makovu ya 94 pia toka huko mkuu samehe kama ambavyo watusi waliotendwa 94 wamesamehe na wanaishi kwa amani hivyo hata wahutu sameheni tu msiendelee kuishi kwenye 94 nightmare
 
Watutsi wamesamahe lini mkuu mbona bado wanaendelea kuwaburuza wahutu?? Watutsi huwasamei na kusahau nmeishi nao sana hta ukimnyima leo sukari kijiko kimoja miaka 20 ijayo atakukumbusha!!! So hakuna mtutsi aliyesamehe ndio maana mpaka leo bado wanawaona wahutu kama mang'ombe flani hivi.

Wahutu wamesamahe ila kusahau pia ni ngumu..... Yaani kila mwaka mnakumbuka TUTSI genocide ilihali hakunaga anayekumbuka HUTU genocide!! Yaani wanaambiwa 1994 ilikuwa Tutsi Genocide ilihali hutus lost more than 70% ya waliokufa kwenye vita hii unafkiri watasahau

Mkitaka wasahau iunganisheni Rwanda iwe moja muache ukabila na kudharau wahutu.... Hapo watasahau na maisha yataendelea ila mkiendelea kuwaburuza kila siku jua mnapandikiza chuki tu na mwishowe mtarudi kwenye civil war
 
Kuitwa tutsi genocide haimaanishi wahutu hawakufa, nyumba ikiungua wanaungua wote waliomo hata kama alikusudiwa kuunguzwa mmoja so inaitwa tutsi genocide kwasababu walilengwa tutsi na within the process wakafa wahutu pia fika makumbusho utawakuta wahutu waliouawa wengine kutokana na misimamo yao. Hivyo kila mwaka wanakumbukwa wote waliokufa katika mauaji yaliyowalenga watusi
 
Walilengwa watutsi??? Well and good je na wale wahutu waliolengwa walipokuwa wanakimbilia mpakani waingie DRC vp nao mnawakumbuka?? Hawakufa kwenye process yaani genocide ilishakuwa imeisha na kagame ndio Rais na genocide ilianza 1996 ikaisha 2003 hasa eastern Congo mmi ndio naongelea hiyo kwanni hawakumbukwi pia hawa wahutu mliowachinja kwenye first congo war mkishirikiana na AFDL.....

Pia kuhusu genocide ya 1994 watutsi hawakufa zaidi ya laki 4 alafu wahutu laki 7 ndio wafe kwenye process duh?? Yaani maadui wafe mara mbili zaidi ya walengwa are we serious ilihali mnasema watutsi hawakujilinda??

Zile mass graves kule gitarama nazo ni process?? Zile mass graves kule congo na zenyewe ni process??

Congo examines mass graves to find proof of revenge genocide on Hutus

Rwanda's army accused of killing civilians after mass grave of

Soma hapa kuhusu genocide nayoongelea mmi ukiachana na 1994 alafu uniambie na yenyewe kama ilikuwa process

The Tears Of A Young Hutu In Refugee Camp - RWANDA DEMOCRACY WATCH

Hii nayo ya kibeho massacre nayo ilikuwa process ilihali genocide ilishakuwa imeisha na kagame keshakhwa Rais
Kibeho massacre - Wikipedia
 
Hivyo kila mwaka wanakumbukwa wote waliokufa katika mauaji yaliyowalenga watusi
Unaweza ukanionyesha ni lini wahutu waliochinjwa congo wamewahi kujumuishwa kwenye kumbukizi ya genocide ya 1994??

Mkuu haya mambo ni vzuri uyafanyie utafiti kabla hujapotosha watu humu..... Wanaokumbukwa ni wale wa 1994 genocide ambao licha ya kuwa walikufa wahutu laki 7 ila yanaitwa TUTSI GENOCIDE!!!! As if hakuna wahutu waliolengwa na RPF hasa huko gitarama na cyangugu

Naopigia kelele mimi ni wale waliouawa kwenye makambi ya wakimbizi huko DRC wameshakufa mamilion tokea 1996 hadi 2003 na nlishasema humu nlipokuwa nyiragongo nlishuhudia makambi yao yamechomwa moto na wote wamechinjwa kma kuku alafu kagame anakanusha mpka leo ilihali ushahidi upo wa RPF kuhusika then mnasema huwa wanakumbukwa?? Are you serious??

Mkuu acha kuwa pro-kagame kubali kuwa kagame alichemka issue ya genocide ila kuendelea kumtetea humu haibadilishi ukweli kuwa 80% ya ukweli wa genocide mnafichwa na huyo kagame

Ni hayo tu
 
Sehemu ya 14 hakuna habib umeweka wap
Screenshot_20180601-125956.jpg
 
Ombi la kuifunga hii Jf account ya huyu bibiye limeshawasilishwa...na Msamaria Tamati&advocates
Ni fursa yenu sasa kupitia nasaha zake
 
Back
Top Bottom